Kila sekta itaathirika. Hakuna Hata sekta moja itabaki salama hata kidogo.
Chauongo mzoefu, naona unavyojitapa tu 😅🤣Kila sekta itaathirika. Hakuna Hata sekta Moja itabaki salama Hata kidogo.
Mi mwenyewe uwongo umeninufaidha na kunipa furaha.
Nitadanganya kote lakini nikifika kwako basi ghafla napoteza uwezo wq kudanganya.Chauongo mzoefu, naona unavyojitapa tu 😅🤣
Ulioa kwa kudanganya, au ulipata ajira kwa kufake Id?Kila sekta itaathirika. Hakuna Hata sekta moja itabaki salama hata kidogo.
Mi mwenyewe uwongo umeninufaisha na kunipa furaha.
Tangu nikiwa mtoto mdogo uwongo ndo jadi yangu, yaani Kila siku lazima nidanganye Kwa namna Moja ama nyingine.Ulioa kwa kudanganya, au ulipata ajira kwa kufake Id?
Bado naendelea kudanganywa tu, dadekiii 🤣🤣🤣🤣Nitadanganya kote lakini nikifika kwako basi ghafla napoteza uwezo wq kudanganya.
Sijui umenilogea wapi bibie 😎.
Sina mpango wa kubanduka karibu yako.Bado naendelea kudanganywa tu, dadekiii 🤣🤣🤣🤣
Ngoja niplay along, nimekurogea kwenye kikojoleo mupenziiii, hapo hupinduki hata ufanyaje.
Mwanangu 🤭🤗Namtafuta mama angu.....
Sikushikilii, nakubeba tu, jishikilie mwenyewe 🤣🤣😅Sina mpango wa kubanduka karibu yako.
Nishikilie kweli kweli.