Kama iko haki ya mtu kuamua kujitenga na Tanzania na kuundwa nchi ya watu wa Jamhuri ya JPM, Mimi namba moja

Mada za kipumbavu kama hizi lazima tuzi crush kwa nguvu zote.
 
Umewahi kujiuliza kwa nini duniani kuna dini zaidi ya moja? Na dini hizi zinapingana kila moja ikivutia kwake? Na huku ni kwa Muumba sasa!
Unadhani binadamu anaweza kupendwa na kila mtu?

Pevuka mkuu!
Ona sasa ulivyo mweupe kichwani!

Sasa kama unakubali kuwa hakuna binadamu anayeweza kupendwa na watu wote kwa nini wewe unatumia nguvu kubwa tena ukitaka dola iwashughulikie wale wanaomnanga Magu.

Je hapa unajiona una hoja au ni kweli wewe ni "kisamvu".
 
Wewe Kisamvu cha kopo nakushauri umtafute Mnyeti, Sabaya, Makonda, Hapi, Biswalo na Gambo, wanaweza kukuelewa huu ushuzi wako ulioandika hapa.
Jina lako mbona halina uhusiano na ulichoandika? Wewe ni mpumbavu?
 
No. 2 hapa
 

HUU NI UHAINI SHAURI LAKO
 

Tafuta jina zuri, Hakuna jamhuri ya JPM. Ndio nini.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…