SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Anatangaza biashara yake haramu huyu mhutuKisamvu cha kopo😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatangaza biashara yake haramu huyu mhutuKisamvu cha kopo😂
MkamateAnatangaza biashara yake haramu huyu mhutu
Kwa nini msipende tu kujenga hoja badala ya hisia za kijinga na wakati si wajinga?Anatangaza biashara yake haramu huyu mhutu
Mbona nyie mnaomshabikia mfu ndiyo mataahira kabisa pumbavu zenuWanaomtukana humu na kwingineko mitandaoni, wengi wao ni maTUTUSA tu, wajinga, machawa, malofa na wasiokuwa na chochote.
Kwanini uumie kisa wapuuzi wa namna hiyo?
Mada za kipumbavu kama hizi lazima tuzi crush kwa nguvu zote.Unaheshima zako hapa! Ukiona mada haiendani na ulivyo wewe, kaa kwa kutulia na siyo ujisababishie kushushiwa heshima yako mkuu!
Si kila mtu awe na mtazamo wako mwana Chadema! Chadema na ccm ni vyama tu ila havitufanyi kutuondolea mapenzi yetu ya kiupendano wa sisi kwa sisi na kwa nchi yetu! Nakuheshimu mkuu
Ona sasa ulivyo mweupe kichwani!Umewahi kujiuliza kwa nini duniani kuna dini zaidi ya moja? Na dini hizi zinapingana kila moja ikivutia kwake? Na huku ni kwa Muumba sasa!
Unadhani binadamu anaweza kupendwa na kila mtu?
Pevuka mkuu!
Ukiona imekuuma hivi, ujue wewe ndiye mlengwa pamoja na wenzako, mmekuwa maTUTUSA sana mitandaoni kutwa kutukana watu.Mbona nyie mnaomshabikia mfu ndiyo mataahira kabisa pumbavu zenu
Kueieza ukweli kuwa mtu wenu alikuwa mwovu ndiyo kutukana? Wapumbavu sana nyie Sukuma GangUkiona imekuuma hivi, ujue wewe ndiye mlengwa pamoja na wenzako, mmekuwa maTUTUSA sana mitandaoni kutwa kutukana watu.
Kueieza ukweli kuwa mtu wenu alikuwa mwovu ndiyo kutukana? Wapumbavu sana nyie Sukuma Gang
Jina lako mbona halina uhusiano na ulichoandika? Wewe ni mpumbavu?Wewe Kisamvu cha kopo nakushauri umtafute Mnyeti, Sabaya, Makonda, Hapi, Biswalo na Gambo, wanaweza kukuelewa huu ushuzi wako ulioandika hapa.
Pamoja mkuuUmeniwahi nafasi yangu.
Kuna watu watanuna na huu uzi.
Mkuu umeacha kujiheshimu tena! Usipotumia maneno haya itafunguliwa nini mkuu SAGAI GALGANOAnatangaza biashara yake haramu huyu mhutu
No. 2 hapaHili ni kutoka moyoni kabisa!
Nchi ya watu wa jamhuri ya JPM, haifumbii macho upandaji wa mazao kiholela na kuishi kwa tozo zisizo na kichwa wala mkia, Haina uhusiano kabisa na rushwa, wazembe kule hawatakiwi, mafisadi hawaweki pua zao kule, kule ni HAPA KAZI TU Na kuishi kwa kumtegemea MUNGU
Kule miradi haihujumiwi kijinga! Kule ni Taifa la watu wenye nguvu na wanaojiamini! Hakuna kuoneana, masikini ataishi kwa haki yake na tajiri kwa haki yake, kila mtu atakula kwa jasho lake na si kwa urefu wa kamba zake!
Na kama iko namna bora na ambapo viongozi wetu wanapaswa kutumia hekima ili kuondoa mpasuko unaoendelea mitandaoni na ambapo viongozi wetu huwenda wanaona ni kawaida, basi wanapaswa kuliangalia hili na kuwa nalo makini sana, kwani linazidi kuipasua nchi na kuleta tofauti mkubwa kwa wananchi na mpaka kwa viongozi wenyewe!
Kuilinda Amani kwa majeshi na vitisho, ni njia nzuri ila sio namna bora yenye kuleta utengamano kwa jamii iyoumizwa; watanyanaza kwa midomo yao lakini mioyo yao ingali inawaka moto!
Tukubali ama tusikubali, nyuma ya hayati JPM kuna mamilioni ya watanzania ambao mpaka sasa wamekuwa wafuasi wa mlengo wake na wameendelea kuumizwa na matusi na kejeli nyingi kumhusu JPM, Ikumbukwe, JPM alikuwa Raisi wa nchi hii, hivyo, ameacha watu wengi nyuma waliathiriwa na namna ya uongozi wake na wakampenda kama kiongozi wa aina yake kwenye mioyo yao
Si kwenye majeshi yetu, si kwa viongozi wa ndani na nje ya nchi tu, bali hata viongozi wengi waliko ndani ya ccm na ndani ya vyama vingi vya upinzani
Kuendelea kuacha jina lake kutukanwa kama mdori! Hii sio heshima wala mila zetu watanzania
Ifike pahala, jambo hili likomeshwe ili kuwaleta watanzania kwa pamoja na umoja wao!
Kama kuna mtu anajidanganya kusema eti hao sukuma gang, kwanza ni wachache na itafika mahali watasahau, huku ni kujidanganya na kuendelea kuchochea ghadhabu ndani ya mioyo ya wengi! Mtu aliyewatoa tongotongo watanzania na kuona kwamba kumbe hata Tanzania na watanzania kuinuka kiuchumi inaezeakana, iwe rahisi tu kusahaulika?
Hii ni nchi yetu sote, tumekuwa na utaratibu usiopendelea mtu wala dini na ama kabila ili kumfanya
Mtu awe kiongozi wetu!
JPM alishinda kwa haki na nyinyi ccm ndio mliotuletea, na ushindi wake mliusimamia nyinyi wenyewe, kwa nini hata chama chake kimeacha kumtunzia heshima yake kama mtu aliyeitumikia hii nchi tena kwa mafanikio makubwa?
Mnamaanisha kwamba nyinyi ccm ndio mnaoratibu haya unayoendelea kumhusu JPM?
Nahitimisha kusema, ccm majijengea uhasama na wananchi nyinyi kwa nyinyi!
Hili ni kutoka moyoni kabisa!

Soma vizuri kichwa cha Habari wewe,HUU NI UHAINI SHAURI LAKO

Tanzania ina vijana wapumbavu sana sana, hivi kuna Mtu alipendwa kama Nyerere?