Kama iko haki ya mtu kuamua kujitenga na Tanzania na kuundwa nchi ya watu wa Jamhuri ya JPM, Mimi namba moja

Juhudi za makusudi kabisa ..

Ukitaka kumuua Mbwa mpe jina Baya .

Hawajaridhika tuu..

Faida ipi mnayopata?

Siasa za majitaka ..
 
Soma vizuri kichwa cha Habari wewe,

Hili linamaanisha tu kama kungelikuwa na uhuru you wa mtu kujiamlia bila kuwepo sheria ya zuio!

Pemba walijaribu ikashindikana Tena wenyewe walienda umoja wa mataifa. Kuna process ndefu kujitenga kwanza lazima mzichape kwanza.
 
Soma vizuri kichwa cha Habari wewe,

Hili linamaanisha tu kama kungelikuwa na uhuru you wa mtu kujiamlia bila kuwepo sheria ya zuio!
Sawa kisamvu ila hii suggestion yako inanukia uhaini kwani hata mbuyu ulianza kama mchicha, cheche moja inaweza kulipua kisima kizima cha petrol. Watch it !!!
 

Swali la kujiuliza kwanini atukanwe yeye?. Maalim Seif kafa ila Hakuna anayemtukana tena anasemwa vizuri, same to mkapa and Dr Nyerere.
 

JPM yupi unamuingelea? Huyu aliyempa mpwa wake asimamie hazina ili wachote fedha vizuri au huyu aliyehamisha wanyama kupeleka chato? Kiongozi wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania.
 
Mfuate huko mkaanzishe,
 
Huo huo wa kishetani ulisaidia sana kupunguza wajinga na wakwapuaji wa kodi pamoja na wajuaji ambao hata shule hawakupita, na sasa wanatukana tu hapa

Wakwapuaji walipungua wapi? Wakati Trilioni 1.5 haijulikani ilienda wapi na pesa za plea bargain ING kutichwa China. Serikali ya kifisadi kuliko zote.
 
Wanaomtukana humu na kwingineko mitandaoni, wengi wao ni maTUTUSA tu, wajinga, machawa, malofa na wasiokuwa na chochote.

Kwanini uumie kisa wapuuzi wa namna hiyo?

Anatukanwa kwasababu aliijifanya anajua matusi. Huwezi kumwambia mwananchi Rudi na mavi yako nyumbani. Rais mzima.
 

Nani huyo anataka watu wasiojulikana warudi? Nani huyo anataka watu kulimwa risasi hadahrani na miili kutupwa kwenye viroba?.
 
Uliona wapi mwenye njaa akaeleza ukweli?
Nyie misukule ya mwendazake ndiyo njaa kali,mna chuki kubwa na matajiri kwa vile mlikulia kulalia ngozi za mbuzi basi mlitaka kila mtu a experience dhiki zenu ndiyo maana yule kichaa wenu alisema anataka waliokuwa wanaishi maisha bora waishi kama mashetani. Chuki yenu kwa matajiri haiwezi ikaondoa dhiki zenu.
 
Nchi ni
Nchi ni Moja Tanzania.

Magu alifanya mengi MAZURI, tunayaenzi.

Sa100 anaendeleza, Mungu ambariki.
Kunako Majaliwa tunaomba Mungu atuletee mkali zaidi ya Magu kunako 2025 ikiwa uchaguzi mkuu utakuwepo.

Amen

Makali zaidi ya Magu ndio iweje? Nchi ni ya wananchi ukija kichwa kichwa Kama Magu na kufanyaje kufuru unaondaoka bila kuaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…