econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Kuna mazuzu hayatakuelewa
Na Kuna matahira yatamuelewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mazuzu hayatakuelewa
Mimi nitakuwa wa pili
Soma vizuri kichwa cha Habari wewe,
Hili linamaanisha tu kama kungelikuwa na uhuru you wa mtu kujiamlia bila kuwepo sheria ya zuio!
Sawa kisamvu ila hii suggestion yako inanukia uhaini kwani hata mbuyu ulianza kama mchicha, cheche moja inaweza kulipua kisima kizima cha petrol. Watch it !!!Soma vizuri kichwa cha Habari wewe,
Hili linamaanisha tu kama kungelikuwa na uhuru you wa mtu kujiamlia bila kuwepo sheria ya zuio!
Hao viongozi waliokaa kimya,wao ndio wametoa hayo maelekezo ya kutukanwa kwa jpm,hayo matusi yanabaraka zao,lkn ukweli nikuwa,wanatwanga maji kwenye kinu,magufuli ndio kipenz cha watanzani,hata hayo yanayoitwa maridhiano,ni kichaka cha kuukimbia ukweli na kutafuta kuungwa mkono ktk kazi ya kumtukana jpm,
Mzee mm usajili ukianza nistue nipo namba mbili baada yako.
Ukweli utabaki kuwa wazi hakuna kiongozi wa kumlinganisha na JPM,na hili viongozi wengi serikalini wanalijua ndo mana wanatafuta namna ya kumchafua ila wanashindwa na wataendelea kushindwa mpaka ccm chama kipasuke tu.
Mfuate huko mkaanzishe,Hili ni kutoka moyoni kabisa!
Nchi ya watu wa jamhuri ya JPM, haifumbii macho upandaji wa mazao kiholela na kuishi kwa tozo zisizo na kichwa wala mkia, Haina uhusiano kabisa na rushwa, wazembe kule hawatakiwi, mafisadi hawaweki pua zao kule, kule ni HAPA KAZI TU Na kuishi kwa kumtegemea MUNGU
Kule miradi haihujumiwi kijinga! Kule ni Taifa la watu wenye nguvu na wanaojiamini! Hakuna kuoneana, masikini ataishi kwa haki yake na tajiri kwa haki yake, kila mtu atakula kwa jasho lake na si kwa urefu wa kamba zake!
Na kama iko namna bora na ambapo viongozi wetu wanapaswa kutumia hekima ili kuondoa mpasuko unaoendelea mitandaoni na ambapo viongozi wetu huwenda wanaona ni kawaida, basi wanapaswa kuliangalia hili na kuwa nalo makini sana, kwani linazidi kuipasua nchi na kuleta tofauti mkubwa kwa wananchi na mpaka kwa viongozi wenyewe!
Kuilinda Amani kwa majeshi na vitisho, ni njia nzuri ila sio namna bora yenye kuleta utengamano kwa jamii iyoumizwa; watanyanaza kwa midomo yao lakini mioyo yao ingali inawaka moto!
Tukubali ama tusikubali, nyuma ya hayati JPM kuna mamilioni ya watanzania ambao mpaka sasa wamekuwa wafuasi wa mlengo wake na wameendelea kuumizwa na matusi na kejeli nyingi kumhusu JPM, Ikumbukwe, JPM alikuwa Raisi wa nchi hii, hivyo, ameacha watu wengi nyuma waliathiriwa na namna ya uongozi wake na wakampenda kama kiongozi wa aina yake kwenye mioyo yao
Si kwenye majeshi yetu, si kwa viongozi wa ndani na nje ya nchi tu, bali hata viongozi wengi waliko ndani ya ccm na ndani ya vyama vingi vya upinzani
Kuendelea kuacha jina lake kutukanwa kama mdori! Hii sio heshima wala mila zetu watanzania
Ifike pahala, jambo hili likomeshwe ili kuwaleta watanzania kwa pamoja na umoja wao!
Kama kuna mtu anajidanganya kusema eti hao sukuma gang, kwanza ni wachache na itafika mahali watasahau, huku ni kujidanganya na kuendelea kuchochea ghadhabu ndani ya mioyo ya wengi! Mtu aliyewatoa tongotongo watanzania na kuona kwamba kumbe hata Tanzania na watanzania kuinuka kiuchumi inaezeakana, iwe rahisi tu kusahaulika?
Hii ni nchi yetu sote, tumekuwa na utaratibu usiopendelea mtu wala dini na ama kabila ili kumfanya
Mtu awe kiongozi wetu!
JPM alishinda kwa haki na nyinyi ccm ndio mliotuletea, na ushindi wake mliusimamia nyinyi wenyewe, kwa nini hata chama chake kimeacha kumtunzia heshima yake kama mtu aliyeitumikia hii nchi tena kwa mafanikio makubwa?
Mnamaanisha kwamba nyinyi ccm ndio mnaoratibu haya unayoendelea kumhusu JPM?
Nahitimisha kusema, ccm majijengea uhasama na wananchi nyinyi kwa nyinyi!
Huo huo wa kishetani ulisaidia sana kupunguza wajinga na wakwapuaji wa kodi pamoja na wajuaji ambao hata shule hawakupita, na sasa wanatukana tu hapa
Wanaomtukana humu na kwingineko mitandaoni, wengi wao ni maTUTUSA tu, wajinga, machawa, malofa na wasiokuwa na chochote.
Kwanini uumie kisa wapuuzi wa namna hiyo?
Mimi No.2 Rest in peace Mwamba Shujaa wa Afrika.
Wamepata uhuru pia wanaiba..
Sababu anawatasha wengi amekufa ila watu wengi wanataka falsafa kama ya magu ndio iongoze nchi ,walamba asali na machawa ndio wanaona itawafanya wasiitawale nchi wanavyotaka kwaiyo wanaona kumtukana na kumkandia ndio njia pekee ya kuuwa falsafa yake Kwa wananchi ,ila inawasimbua sana
Nyie misukule ya mwendazake ndiyo njaa kali,mna chuki kubwa na matajiri kwa vile mlikulia kulalia ngozi za mbuzi basi mlitaka kila mtu a experience dhiki zenu ndiyo maana yule kichaa wenu alisema anataka waliokuwa wanaishi maisha bora waishi kama mashetani. Chuki yenu kwa matajiri haiwezi ikaondoa dhiki zenu.Uliona wapi mwenye njaa akaeleza ukweli?
Nchi ni
Nchi ni Moja Tanzania.
Magu alifanya mengi MAZURI, tunayaenzi.
Sa100 anaendeleza, Mungu ambariki.
Kunako Majaliwa tunaomba Mungu atuletee mkali zaidi ya Magu kunako 2025 ikiwa uchaguzi mkuu utakuwepo.
Amen
Hayp yamejaa sana humu; tuseme no asilimia karibia 95% ya jukwaani
Umeniwahi nafasi yangu.
Kuna watu watanuna na huu uzi.
Ni wivu tu.Bora mjitenge mtuondolee uchuro.