Kama iko haki ya mtu kuamua kujitenga na Tanzania na kuundwa nchi ya watu wa Jamhuri ya JPM, Mimi namba moja

Jamhuri ya JPM iko kule shimoni Chato, mtu kama wewe huombi uraia, unapewa tu, na unasubiriwa.
Meaning what? Kama mimi ni Mwarabu wa CUF je, niende kaburi la Magufuli kafiri linanisaidia nini? Mie nitaenda kaburi la Mama yake zittokabwe shujaa Kigoma Burundi au kaburi la Maalimseif kule Pemba? Kwa nini niende kwa Magufuli? Kuna kada wengi wa CCM na mapolisi walichinjwa kule Kibiti Lindi na kundi la UAMSHO, makada wa upinzani hawaguswi huku Mbunge wa CHADEMA John John Mnyika akisema CCM na Polisi walijitakia?
 
Anatukanwa kwasababu aliijifanya anajua matusi. Huwezi kumwambia mwananchi Rudi na mavi yako nyumbani. Rais mzima.

Ndiomaana tunawaita nyinyi maTUTUSA, mbwa koko (waoga), na machawa kwa kumtukana mtu ambaye amefariki miaka miwili iliyopita tena mitandaoni kwa kujificha kama panya.

Kwanini hamkumtukana alivyokuwa hai? 😄
 
Shujaa huwa haui Raia wake.
Umesema kweli.Shujaa haui raia wake kwa njaa, ugumu wa maisha, tozo za dhulma,migao umeme,maji, ajali, vifo mahospitalini kwa huduma mbovu! Bali shujaa hupambana kuleta nafuu na kuhakikisha jamii inanufaika na keki ya taifa.
 
Mama si ameponya nchi ndugu .kuna maridhiano huku kila kona utafikir nchi ilikuwa kwenye civil war
 

Ndiomaana tunawaita nyinyi maTUTUSA, mbwa koko (waoga), na machawa kwa kumtukana mtu ambaye amefariki miaka miwili iliyopita tena mitandaoni kwa kujificha kama panya.

Kwanini hamkumtukana alivyokuwa hai? Nyinyi ni waoga wa maisha na ndiomaana nikasema mna NJAA.
 
JPM yupi unamuingelea? Huyu aliyempa mpwa wake asimamie hazina ili wachote fedha vizuri au huyu aliyehamisha wanyama kupeleka chato? Kiongozi wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania.

JPM yupi unamuingelea? Huyu aliyempa mpwa wake asimamie hazina ili wachote fedha vizuri au huyu aliyehamisha wanyama kupeleka chato? Kiongozi wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania.
Tulia wewe hujui chochote
 
Nitamkubali Magufuli Miaka yote ya maisha yangu hapa Duniani Najua alikuwa na baadhi ya Mapungufu yake ila Alikuwa ni Kiongozi Bora kuwahi kutokea Katika Ardhi ya Tanzania R.I.P JPM,

ni miaka miwili sasa Tangu ututoke yani kila nikiona nyuzi za kumtukana Magufuli humu JF huwa nagundua kweli Matatizo ya Afya ya akili ni Janga la Kitaifa na linahitaji Barakoa za Ubongo ili lisisambae.
 
Wapi na lini ametukanwa? Au kiswahi kinawapa shida mumezoe kihutu chenu? Kueleza wasifu wa mtu ndiyo kumtukana? Tuondoleeni utaahira wenu wa Kirundi hapa, kama vipi rudini kwenu Burundi mlikozoea kuchinjana wapuuzi wakubwa nyie

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ame
Nchi ni
Nchi ni Moja Tanzania.

Magu alifanya mengi MAZURI, tunayaenzi.

Sa100 anaendeleza, Mungu ambariki.
Kunako Majaliwa tunaomba Mungu atuletee mkali zaidi ya Magu kunako 2025 ikiwa uchaguzi mkuu utakuwepo.

Amen
Amen
 
Kuwapora hela Wananchi halafu unajenga Airport mwituni hayo ni mazuri gani?
 
Mao tsetung na nyerere nakina nkruma hawakufanya huo upuuzi sembuse huyo jangili muuaji mwaga damu za watu
 
Sawa kisamvu ila hii suggestion yako inanukia uhaini kwani hata mbuyu ulianza kama mchicha, cheche moja inaweza kulipua kisima kizima cha petrol. Watch it !!!
Hakuna mtu wa aina hiyo hapa bongo' na haitatokea mkuu, ni namna ya maoni tu ambayo yanaukaribia ukweli kwamba, tunahitaji kuwa na angalau na mifumo imara kama ilivyokuwa kwa huyu hayati, maana nchi yetu bhana inaboa sana, watu wanaihujumu sana nchi yetu na hawafanywi chochote

Tunafikia kuomba misaada ya choo? Maana yake sisi ni masikini mno?

Haiwezekani bhana
 

Nyie ni wale mbwa "mkia dobo" au kwa jina maarufu "mbwa koko".

Waoga waoga tu, ndiomaana hauna mwenye akili timamu anaweza kuwazigatia.

Mngebwata live live wakati ule yupo hai, sio sasa hayupo ndo unakuja kupigia kelele huku kwenye anonymity , mmejificha kama panya😄.

Waoga wa maisha.
 
Kuwapora hela Wananchi halafu unajenga Airport mwituni hayo ni mazuri gani?
Hahaha! Ni maomno mazuri sana hayo mkuu

Ni sawa tu na rami ilivyoenea mpaka uwani huko uchagani wakati kuna wilaya nzima hazina hata rami
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…