Kama iko haki ya mtu kuamua kujitenga na Tanzania na kuundwa nchi ya watu wa Jamhuri ya JPM, Mimi namba moja

Nyie ndiyo waoga wa maisha ndiyo mlijipendekeza kwake ili mteuliwe sasa hayupo ndiyo mnaona kila kinachofanywa na Serikali ni kibaya kwa vile mko nje ya mfumo, sisi tulishazoea kuishi kwa kujitegemea. Mtalia sana Msoga Gang ndiyo wameshawaweka pembeni. Mnaacha kuishi kujitegemea mnategemea kubebwa na dola pumbavu kabisa nyie viwete wa akili.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wivu wa Nini? Kila siku kelele Mara kujitenga Mara Nini? Sasa Bora mpewe nchi yenu muende huko mkaishi na watu wasiojulikana na Hakuna kuongea, kutekwa nje nje.
-Kwani sasa hivi mnaongea nini?

Lamba asali tu. Na watu wanatekwa na kuuwawa ila kwa vile mnalamba asali ndio maana hamuoni hayo ni upofu tupu.

Na taifa halifanyitena maendeleo kazi ni kulamba asali tu. Mila biradi ya JPM hakuna mradi mpya uloanzishwa.
 
Kama taifa hili ni la fisadi la msoga na kigenge chake na wanaamua nani awe nani na wasiyempenda wao wanamkataa na wanajivuna waziwazi hadharani wao ndio wazuri na hawafi wanadunda tu, kuna ubaya gani wale wa JPM wakitaka kipande cha nchi na wao wajimilikishe kama hawa mafisadi walivyojimilikisha taifa letu watanzania wote?
 
Siafiki kutukanwa kwa huyo uliemtaja. Lakini umejichanganya kwenye hoja yako.
1. Umoja kama taifa. Enzi za huyo uliyemtaja alishasema jimbo la mpinzani hapeleki huduma, je huo umoja upo wapi? Ninaweza kusema aliligawa taiga kwa kauli zake na hata vitisho alipowaambia wakurugenzi kama wamepewa magari,usalama wanao sasa itakua ajabu wakitangaza wabunge wa upinzani. Huo umoja ameuenzi wapi hapo?

2. Unazungumzia watu kuishi bila vitisho. Hapo ndio umepotea kabisa. Kulikuepo na wakuu wa wilaya,mikoa na wakurugenzi walikua miungu watu. Sioni haja ya kuwataja maana wenye akili wanawajua

3. Suala la dhuluma. Kwani hoja ya prebargaining hujawahi kuisikia? Vipi hela zilizosemekana zimechepushwa na hata taratibu hazikufuatwa? Nani alichepusha nakwabaraka za nani

4. Suala la mipasuko mtandaoni. Binafsi sioni mpasuko bali watu wanatoa maoni yao sematu wewe mleta mada huafikiani nayo.

5. Unaposema alishinda kwahaki rejea uchaguzi wa serikali za mitaa ambapo wapinzani karibia nchi nzima eti walishindwa kujaza fomu kwa usahihi. Sasa hayo sio maajabu ya karne?

Kama kweli hutaki maoni hasi ( kwa mtazamo wako)juu ya huyo ambae unaesema anaonewa kutukanwa na kudhalilishwa nivyema usiandike mema yake maana wapo wataeleza mabaya yake. Hayo ndio maisha usibishane na mizani mkuu.
 
Upo sahihi sana mkuu Jpm alikuwa rais bora sana kuwahi kutokea.
 
Maendeleo tunayotaka hayaji kwa fikra tu bali kupgana machozi Jasho na damu ukiwa kama kiongozi ni lazma sometimes uchukue maamuzi magumu jpm alithubutu .
 
Huu ndio ushamba wenyewe.
 
Naunga mkono hoja
 
Makamba na nepi wanepewa uwazari kwa kumtukana marehemu , na saa100 ndo akawaweka karibu kwenye kabineti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…