Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
-
- #121
Hiyo Torat inapatikana wapi ili tuisome?Pia ukienda kwenye Taurati ukaisoma vizuri utaona Nabii Ibrahim alichukua ruhusa kutoka kwa nani ? Kutoka kwa
Abi Malik, King of the Philistines( We gave permission to Abraham) This is your Torah
Yanini usumbukeee sana nakurahisishia ili usisumbuke sana ili mjue hata bibilia zenu zina kiri hio ni ardhi ya wa Palestine.Hiyo Torat inapatikana wapi ili tuisome?
Na Kwa mujibu wa maelezo yako kwa ivo Kuna tofauti kati ya Wayahudi na wapalestina?
Naona umebaka andiko la watu huko, Uislamu upo very clear ,kuna tofauti katı ya wana wa Israel na mayahudi. Mayahudi ni wana wa israel walioamua kutafuta njia Yao.Kuna waislam, wasomi wa dini ya Kiislam ambao wanasema wazi kuwa Quran imetamka wazi kuwa Israel ni ardhi ya Wayahudi, na kama wao waislam watataka kuichukua ardhi hiyo, wataanguka na kushindwa.
Quran Inasema Israel ni Ardhi ya Wayahudi
1 of 16Next Last
- Thread starterBams
- Start dateDec 17, 2023
- TagsNone
Unsubscribe
•••
[IMG alt="Bams"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/28/28702.jpg?1421497843[/IMG]
Bams
JF-Expert Member
Kuna waislam, wasomi wa dini ya Kiislam ambao wanasema wazi kuwa Quran imetamka wazi kuwa Israel ni ardhi ya Wayahudi, na kama wao waislam watataka kuichukua ardhi hiyo, wataanguka na kushindwa.
Moja ya maandiko wanayorejea kwenye Quaran, ni Sura 5 verse 21 kwenye kuran, ambayo inasema kuwa, "Israel ni ya Wayahudi".
Andiko zima, rejea hapa chini:
Khaleel Mohammed, Islamic Law scholar of the San Diego State University, noted that Sura 5 verse 21 of the Qur'an, and the medieval exegetes of the Qur'an, say that Israel belongs to the Jews. He translates it thus:
[Moses said]: O my people! Enter the Holy Land which God has written for you, and do not turn tail, otherwise you will be losers." Mohammed here understands "written" to mean this is the final word from God on the subject. In reaction, he was inundated with hate mail.[4]
And We said to the Children of Israel after Pharaoh, “Reside in the land, but when the promise of the Hereafter comes to pass, We will bring you all together.”
— Surah Al-Isra 17:104
Hii ndiyo torati uliyosema?Yanini usumbukeee sana nakurahisishia ili usisumbuke sana ili mjue hata bibilia zenu zina kiri hio ni ardhi ya wa Palestine.
Genesis 21:34
34 And Abraham stayed in the land of the Philistines for a long time.
Huyo ni mjinga Tu ndugu yangu hakuna haja ya kubishana na MTU mpumbavu, sikuhizi hii JF iimegeuka sehemu ya mipasho na kuna wajinga wengi SanaYou mind crippled, argue not with sound mind people.
Bad lucky are the parents who begotten such a retarded girl who is rich in nothing than her idiocy.
Wafilisti sio Wapalestina.....Yanini usumbukeee sana nakurahisishia ili usisumbuke sana ili mjue hata bibilia zenu zina kiri hio ni ardhi ya wa Palestine.
Genesis 21:34
34 And Abraham stayed in the land of the Philistines for a long time.
Sa we nitafutie wapi bibilia inasema kuna nchi inaitwa Israel hupati, labda mje na new edition siku za mbele 😄 Afu sijui Mtume yupi anaye waletea toleo jipya, hivi bado kuna Mitume ya Mungu inashuka bada ya Mtume Muhammad!
Ni wagiriki?Wafilisti sio Wapalestina.....
Yasser Arafat kafa Hospitali Ufaransa, akiwa na miaka 75, amekuwa assassinated na waarabu? Nyie pro Israel uongo ni jadi yenu. Sababu Waisrael wamemuua Yizack mnaforce na wapalestina nao waonekane wapo hivyo hivyo.Oslo Accord inasemaje? Nani aliikwamisha?
Unachotakiwa kujua ni kuwa ndani ya Israel kuna watu hawataki kabisa kusikia Taifa la Palestine. Na hawa ndio walimwua Yizack Rabin kwa sababu ya kusaini Oslo Accord.
Lakini pia ndani ya Waarabu kuna watu hawataki kusikia habari ya mataifa mawili. Wanasema wayahudi wanatakiwa kumalizwa, eti quran ndiyo inaagiza hivyo. Na hao ndo walim-assasinate Yasar Arafat kwa sababu ile ile iliyomwua Yizack Rabin.
Kwa hiyo mkuu hao wahafidhina wasiotaka suluhisho la mataifa mawili wana nguvu sana kuliko madola makubwa ya Dunia (Marekani) ndio maana mpaka Leo hakuna amani ya kudumu?Oslo Accord inasemaje? Nani aliikwamisha?
Unachotakiwa kujua ni kuwa ndani ya Israel kuna watu hawataki kabisa kusikia Taifa la Palestine. Na hawa ndio walimwua Yizack Rabin kwa sababu ya kusaini Oslo Accord.
Lakini pia ndani ya Waarabu kuna watu hawataki kusikia habari ya mataifa mawili. Wanasema wayahudi wanatakiwa kumalizwa, eti quran ndiyo inaagiza hivyo. Na hao ndo walim-assasinate Yasar Arafat kwa sababu ile ile iliyomwua Yizack Rabin.
Nimemuambia kuna dini kabisa lakin kuna watu wa hiyo race. Mi nina mzee tumetoka kumzika juz kati alikuwa Judaism ingawaje hakuwa myahudi.Hapa haizungumziwi Dini. Linazungumziwa Taífa la Wayahudi àmbao Zamani waligawanyika katika kingdom Mbili kingdom of Judah na Israel
Palestina lilikuwa ni eneo la kiutawala ambalo ndan yake kulikuwepo waarabu ambao walikuwa majority, wayahud, Samaritan, na druze.Hapa ni sawa na kusema watanzania na wachaga au waswahili
Eneo la kiutawala nani alikua anatawala?Palestina lilikuwa ni eneo la kiutawala ambalo ndan yake kulikuwepo waarabu ambao walikuwa majority, wayahud, Samaritan, na druze.
Siyo kweli, unaonesha historia iliku[piga changa. nchi za SAfrika zipo na zilikuwepo labda una mbie Tanania haikuwepo, ilikuwepo Tanganyika, na kabla ya Tanganyika ilikuwa ni Zanzibar, kabla ya Zanzibar ilikuwa Zenjbar. Kabla ya hapo unajuwa iliitwaje? Au nikupe darsa?Huo Mwaka 1948 hakukuwa na nchi zote za Afrika
Lakini Waafrika walikuwepo.
Tanzania haikuwepo 1948
Zimetawala tawala nyingi sana toka rumi mpaka ottoman imapya na Britain wote hao waliliita eneo kwa jina hilo. Na jina walipewa na warumiEneo la kiutawala nani alikua anatawala?
Biblia imesheheni extensive details kuhusu taifa la Israeli, kwa nini una refer Quran iliyokuja more than 500 years tena kupitia jamii ya kiarabu wakati kwenye vitabu vya SAMWELI, WAFALME na vingine ndani ya Biblia vina historia kubwa kuhusu Israeli?Qur'an iko wazi kabisa kuwa Bani Israel sio Wayahudi acha story na hakuna sehemu Qur'an imesema Israel ni ya Wayahudi sababu Israel sio nchi kutokana na Qur'an ni Yakobo na Bani Israel ni watoto wa Yakobo. Taifa linalo itwa Israel limetengenezwa na Uingereza kwa ajili ya siasa zao za dini walio jitungia na ukoloni walio uleta pale Palestine.
Qur'an inasema Wayahudi ni dini na Bani Israel ni kizazi cha Yakobo, sababu Yakobo alikuwa mcha Mungu sana .Mwenyezi Mungu ndio akawahidi kizazi chake sehemu takatifu sio kina nyaa na kina Biden 😄
haikuwepo nchi inayoitwa "israel" Suleiman na Daud walitokea Misri, kasome vizuri historia yako.Ilikuwepo, ilitawaliwa kifalme kuanzia Mfalme Sauli kisha Mfalme Daudi kisha Mfalme Suleiman karne nyingi kabla ya Kristo.
Hoja ni Je hawa wa siku za leo ndo wametokana na kizazi hicho cha waisraeli wa kale? Na je ni wanaojiita wapalestina waliozaliwa hapo miaka ya leo hawana haki zozote?
Lakini mkitaka kulazimisha kupindisha historia kwa sababu za kidini hapo ndo mnakosea na mnaonekana hamjitambui
Nukuu ulipoisoma.Kwahiyo Qur'an na Biblia zilikuwa ni porojo. Hakuna nchi kama hiyo iliwah kuwepo wala Mungu wao na manabii na mitume wao sio?
Hilo ni kweli kabisa, ilikuwa Tanganyika, na kabla ya Tanganyika ilikuwa ni Zanzibar.Pia hakuna nchi iliyoitwa Tanzania kabla ya 1964