son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 695
- 1,817
Jina zuri kwahakika maa sha Allah one day πππUnited State of Muslim
Lula kashinda BrazilLula kashinda Uchaguzi Brazil mbona kimyaaa hakuna Habari BBC hata jukwaani hakuna mwenye kufungua Uzi???????
Kwa sababu hana ushirika mzuri na western countries.Lula kashinda Uchaguzi Brazil mbona kimyaaa hakuna Habari BBC hata jukwaani hakuna mwenye kufungua Uzi???????
Hata wewe lazima utakuwa muslims tu,maana unavyotetea.Mayor wa Newyork Mamdani wakati anagombania apate u-mayor,reps wakiongozwa na D.Trump walimshambulia kisiasa na propaganda nyingi kama vile ni jihadist,muslim brotherhood nk
..lakini mwishowe alishinda kiti cha umeya na leo hii siku yake ya birthday inasherehekewa widely Newyork anakubalika.
Hibo hivo kwa Dr.Abdul El sayed saizi kuna propaganda Trump anaieneza ya kwamba Dkt Abdul El sayeed ni muslim brotherhood ,ni jihadist na propaganda nyingi lakini hadi sasa kwenye polls El sayed kamuacha mbali mike rogers
Mwana dada Ilhan omar vita yake pia atashinda licha ya propaganda za uchaguzi kuelekezwa kwak na mpinzani wake mkuu D Trump na kupewa shutuma kibao
-
Hata wewe lazima utakuwa muslims tu,maana unavyoteteaMayor wa Newyork Mamdani wakati anagombania apate u-mayor,reps wakiongozwa na D.Trump walimshambulia kisiasa na propaganda nyingi kama vile ni jihadist,muslim brotherhood nk
..lakini mwishowe alishinda kiti cha umeya na leo hii siku yake ya birthday inasherehekewa widely Newyork anakubalika.
Hibo hivo kwa Dr.Abdul El sayed saizi kuna propaganda Trump anaieneza ya kwamba Dkt Abdul El sayeed ni muslim brotherhood ,ni jihadist na propaganda nyingi lakini hadi sasa kwenye polls El sayed kamuacha mbali mike rogers
Mwana dada Ilhan omar vita yake pia atashinda licha ya propaganda za uchaguzi kuelekezwa kwak na mpinzani wake mkuu D Trump na kupewa shutuma kibao
-
Mkuu pale Zambia Mzungu alikaimu urais kwa kipindi baada kufa Rais mwanawasa!!!MUslims waliopo ulaya na USA wana matatizo sana kujifanya wanataka haki wakiwa kwenye mataifa ya watu ilihali walipo toka katika mataifa yao hakuna haki-huo ni uwendawazimu.
Sasa mbona wazungu kwenye mataifa ya watu hawaendi kudai haki?Mkuu pale Zambia Mzungu alikaimu urais kwa kipindi baada kufa Rais mwanawasa!!!
Africa kusini imeongozwa na Wazungu kwa kipindi kirefu mpaka juzijuzi tu kuja kuchaguliwa Nelson Mandela!!!
Dunia ni yetu sote Bara la America hakukuwa na Wazungu
Wenyewe pia ni wakimbizi kwenye lile Bara lote la America !!!!
So neno kutaka haki kwa mataifa ya watu sio kweli !!! Wazungu wapo pia kwa watu!!!
Kwani marekani ni ya wazungu?Sasa mbona wazungu kwenye mataifa ya watu hawaendi kudai haki?
Umewahi sikia wazungu wapo China wanalazimisha dini ya kikristo iwe kuu zaidi ya Buddhism?
Kwasababu watoa post wengi walitegemea lula aondoke ila imekula kwao πππLula kashinda Uchaguzi Brazil mbona kimyaaa hakuna Habari BBC hata jukwaani hakuna mwenye kufungua Uzi???????
Si hua munawasifu ulaya kwa demokrasia leo munawageukaMUslims waliopo ulaya na USA wana matatizo sana kujifanya wanataka haki wakiwa kwenye mataifa ya watu ilihali walipo toka katika mataifa yao hakuna haki-huo ni uwendawazimu.
Waliovamia libya na kutaka wapeleke demokrasia ni waarabu au watchingSasa mbona wazungu kwenye mataifa ya watu hawaendi kudai haki?
Umewahi sikia wazungu wapo China wanalazimisha dini ya kikristo iwe kuu zaidi ya Buddhism?
Wazungu ndiyo watoa haki na wazungu ndiyo wachukua haki.Sasa mbona wazungu kwenye mataifa ya watu hawaendi kudai haki?
Umewahi sikia wazungu wapo China wanalazimisha dini ya kikristo iwe kuu zaidi ya Buddhism?
Unataka kuanzisha ubishi usio na tija. Inajulikana wao siyo wakazi halisi wa mwanzo. Ila haihalalishi mtu atoke Sudan aende kusema aruhusiwe kufunga barabara ili asali. Wakati angebaki Sudan angesali barabarani
Kwani marekani ni ya wazungu?
Ulichoandika hakihusiani na nilichoandika.Waliovamia libya na kutaka wapeleke demokrasia ni waarabu au watching
Au waliend kusambaza haki gani unayoitaka wewe