Kama ilivyo kwa Mamdani natabiri Dr Abdul El sayed na Ilhan omar watashinda uchaguzi kwa kishindo

Lula kashinda Uchaguzi Brazil mbona kimyaaa hakuna Habari BBC hata jukwaani hakuna mwenye kufungua Uzi???????
Angeshinda Bolsonaro mdogo ingekua habari kubwa maana ingekua comeback kubwa sana pengine kuliko ya Trump 2024.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…