Kama ilivyokuwa kwa Diamond Platnumz, Joti naye achukuliwe hatua...

Wakuu salaam,

Siku kadhaa zilizopita msanii Diamond alifungiwa wimbo wake kwa maelezo kwamba unadharirisha imani ya watu fulani. Watu walienda mbali zaidi wakasema jamaa kwanza ni muislamu hivyo ule wimbo angerekodia kwenye mazingira yanayomhusu na sio kanisani.

Sasa leo Joti kaachia kazi yake ya sanaa ambayo pia inadharirisha imani fulani. Kwamba anachodepict kwenye hii video ni kwamba uislamu unaozesha watu wa jinsia moja.

Joti anafahamu kabisa kua katika uislamu kujifananisha na jinsia tofauti ni kosa na hairuhusiwi (wakati akiwa orijino komedi walienda kwa sheikh wa mkoa sheikh alhad akawaambia hilo suala). Na pia Joti yeye ni mkristo so hiyo video angeenda kurekodia kanisani.

Kama bodi ya Filamu wameipitidha wewe ni nani hadi uiponde?
 
Kwa nilivyoitazama, Joti ameigiza kama Mwanamke na hakuigiza kama kaka poa. Ni mwanamke ambae amelazimisha Ndoa kwa Udi na Uvumba ili aondoe mkosi, kwasababu mpaka kufikia Umri wa miaka Arobaini na tano (45) alikuwa bado hajaolewa.

Na hakutaka kuvuka mipaka kufikia kwenye Dua amewazuia waliomuozesha kumuombea Dua, bila shaka kama angeombewa Dua ingeonekana kama angejeruhi hisia za watu na alichokifanya akawapigia mruzi watu wake wa Baikoko aliokuwa amewaandaa kwa ajili ya Sherehe za Harusi yake.

Ni maigizo tu, na lengo wala si kukashifu Imani ya mtu yoyote yule.

Kwa msioitazama hiyo Video, hebu itazameni yote hadi mwisho halafu mtaona ni tofauti sana na jinsi Mada ilivyowasilishwa
Mkuu kuna video moja joti alishawahi kuigiza kama muislamu anaekula kitimoto lakini akatumia jina Joseph, kwanini ile video ilifutwa youtube ikiwa mlaji wa kitimoto sio shabani ila ni joseph? Jibu utapata ni kua alidhalilisha imani isiyo yake.
 
Acheni uchonganishi na malumbano ya kiimani. Mungu wetu ni mmoja kwanini tukanyagane?
Aliekwambia Mungu ni mmoja nan mzee?!Mungu wa kikristo katupa njia ya kweli na uzima Kupitia Yesu,waslam wamepewa Mtume Muhammad na pepo yao kila mwanaume atapewa wanawake 72,Huez kuwa na Mungu mmoja atakaewapa dini tofaut huku akiona watu wakiuana na kuchukuana cos ya hizi dini zake afu tunaambiwa Mungu wetu ni wa upendo[emoji419]
 
Ahueni na nyinyi sasa mtapitia maumivu kama tunayopitia sisi pale ndugu zenu wanapoleta masihara katika imani yetu.

Ikiwapendeza, mchomeni tu moto kwa kuikashifu dini yenu ya haki.
Hivi kuna watu bado mnaumizwa na mambo ya dini sijui huyu anadharirisha dini yetu cjui nn
 
Joti naona ana promote San ushoga maana miaka ya nyuma ashawahi toa tangazo la tigo akiwa amevaa wigi lenye rangi za kuhamasishwa mapenzi ya jinsia moja
Mzee unafuatilia sana haya mambo ee?
 
Hii nchi bado Sana kupewa Uhuru, thinking capacity za wengi ziko below average,,itabidi tumuombe Mchina aitawale kwa miaka mingine 30.
 
Naona sheikh wa mkoa hajaiona
Sheikh Alhad pitia kwa jtv [emoji1787][emoji1787][emoji2]
 
Wakuu salaam,

Siku kadhaa zilizopita msanii Diamond alifungiwa wimbo wake kwa maelezo kwamba unadharirisha imani ya watu fulani. Watu walienda mbali zaidi wakasema jamaa kwanza ni muislamu hivyo ule wimbo angerekodia kwenye mazingira yanayomhusu na sio kanisani.

Sasa leo Joti kaachia kazi yake ya sanaa ambayo pia inadharirisha imani fulani. Kwamba anachodepict kwenye hii video ni kwamba uislamu unaozesha watu wa jinsia moja.

Joti anafahamu kabisa kua katika uislamu kujifananisha na jinsia tofauti ni kosa na hairuhusiwi (wakati akiwa orijino komedi walienda kwa sheikh wa mkoa sheikh alhad akawaambia hilo suala). Na pia Joti yeye ni mkristo so hiyo video angeenda kurekodia kanisani.

Hizi dini ni tatizo,, kila kitu kinajdiliwa kwa chuki
 
Hapa Jot ameeigina kama mwanamke na sio kama Shoga! Tuache kukurupuka. KIBOGA Binti Mbaruku
 
Hii nchi bado Sana kupewa Uhuru, thinking capacity za wengi ziko below average,,itabidi tumuombe Mchina aitawale kwa miaka mingine 30.
dunia ya sasa imebadilika, ulimwengu huu umejaa machafu ya kila aina,ushoga ndo fashion mpya worse enough wanatumiwa watu maarufu kama wasanii, wachezaji,waigizaji ambao ni vipenzi vya mashabiki ili iwe rahsi kufiksha ujumbe
 
Sioni Kosa lolote hapo kwa Joti na ukiona Umekwazika na Jambo fulani jua Sindano imefika Mfupani. Hongera mno Joti kwa Ulichokifanya.
𝙷𝚊𝚝𝚊 𝚖𝚒𝚖𝚒 𝚜𝚒𝚘𝚗𝚒 𝚔𝚘𝚜𝚊 𝚕𝚊𝚔𝚎 𝚑𝚒𝚢𝚘 𝚜𝚒𝚘 𝚗𝚍𝚘𝚊 𝚢𝚊 𝚓𝚒𝚗𝚜𝚒𝚊 𝚖𝚘𝚓𝚊
 
Back
Top Bottom