Kama ilivyokuwa kwa Diamond Platnumz, Joti naye achukuliwe hatua...

Nimekuelewa vizuri sana.

Kwa pale ni maigizo tu, sijaona sababu kwa baadhi ya walioguswa walichukulie hili kama vile imekashifiwa imani ya mtu
Hata Diamond kuimbia kanisani pia ilikua ni maigizo tu haikua uhalisia,
Sasa mbona wagalatia walitokwa povu? Au kunya anya Kuku akinya Bata kaharisha?
 
Sijawahi itazama hiyo ya Diamond, mimi nipo kwenye hii Mada husika na kwa nilivyoitazama Video kama nilivyosema hapo awali, Joti katumia akili sana kuzuia Dua na alihofia kuleta mitafaruku kama hii.

Na cha nyongeza, Joti amejifanyia mambo yake mtaani na wala siyo Msikitini.

Kwahiyo, sijaona sababu ya watu kujeruhuhiwa hisia zao.

Ni maigizo yaliokuwa na mipaka
 
Wazee wa seen ya haki mbona povu... Ila joti noumaa sana kavaa uhusika
 
Wakuu salaam,

Siku kadhaa zilizopita msanii Diamond alifungiwa wimbo wake kwa maelezo kwamba unadharirisha imani ya watu fulani. Watu walienda mbali zaidi wakasema jamaa kwanza ni muislamu hivyo ule wimbo angerekodia kwenye mazingira yanayomhusu na sio kanisani.

Sasa leo Joti kaachia kazi yake ya sanaa ambayo pia inadharirisha imani fulani. Kwamba anachodepict kwenye hii video ni kwamba uislamu unaozesha watu wa jinsia moja.

Joti anafahamu kabisa kua katika uislamu kujifananisha na jinsia tofauti ni kosa na hairuhusiwi (wakati akiwa orijino komedi walienda kwa sheikh wa mkoa sheikh alhad akawaambia hilo suala). Na pia Joti yeye ni mkristo so hiyo video angeenda kurekodia kanisani.

Muache tu atachapwa na fimbo ya Mungu. ......
Amtazame Lyatonga....
 
Binti naona umeishia kujichekesha chekesha hovyo tu,hii si dalili nzuri kua makini.
Ndicho unachofundishwa msikitini hicho, kudhihaki watu??

Dogo dini yako huijui, acha kujitia ulimbukeni eti unaitetea ilhali hujui kitu kuihusu, ungekua muislam safi hapa ungeshatiririka vifungu kibao vya quran kuthibitisha usemayo.(waislam wenzio waliotukuka ndivyo wafanyavyo)

Ila kwakua wewe ni muislam koko endelea na mipasho na dhihaka tu.
 
Wakuu salaam,

Siku kadhaa zilizopita msanii Diamond alifungiwa wimbo wake kwa maelezo kwamba unadharirisha imani ya watu fulani. Watu walienda mbali zaidi wakasema jamaa kwanza ni muislamu hivyo ule wimbo angerekodia kwenye mazingira yanayomhusu na sio kanisani.

Sasa leo Joti kaachia kazi yake ya sanaa ambayo pia inadharirisha imani fulani. Kwamba anachodepict kwenye hii video ni kwamba uislamu unaozesha watu wa jinsia moja.

Joti anafahamu kabisa kua katika uislamu kujifananisha na jinsia tofauti ni kosa na hairuhusiwi (wakati akiwa orijino komedi walienda kwa sheikh wa mkoa sheikh alhad akawaambia hilo suala). Na pia Joti yeye ni mkristo so hiyo video angeenda kurekodia kanisani.

Safi sanaaaa joti na hongera kumbe imewauma eeeh
 
Dini zenyewe za kuletewa na waarabu na wazungu- kujifanya una uchungu nazo utadhani umezianzisha wewe.
Miafrika bwana sisi ni hovyo sana.
 
Binafsi sio shida yoyote hapo....

Hapa mtapaisha tu joti
 
Kwa nilivyoitazama, Joti ameigiza kama Mwanamke na hakuigiza kama kaka poa. Ni mwanamke ambae amelazimisha Ndoa kwa Udi na Uvumba ili aondoe mkosi, kwasababu mpaka kufikia Umri wa miaka Arobaini na tano (45) alikuwa bado hajaolewa.

Na hakutaka kuvuka mipaka kufikia kwenye Dua amewazuia waliomuozesha kumuombea Dua, bila shaka kama angeombewa Dua ingeonekana kama angejeruhi hisia za watu na alichokifanya akawapigia mruzi watu wake wa Baikoko aliokuwa amewaandaa kwa ajili ya Sherehe za Harusi yake.

Ni maigizo tu, na lengo wala si kukashifu Imani ya mtu yoyote yule.

Kwa msioitazama hiyo Video, hebu itazameni yote hadi mwisho halafu mtaona ni tofauti sana na jinsi Mada ilivyowasilishwa
hata mimi nimefikiri mara mbili hawa watu humu wanajadili video hii au kuna nyingine?
 
Wakuu salaam,

Siku kadhaa zilizopita msanii Diamond alifungiwa wimbo wake kwa maelezo kwamba unadharirisha imani ya watu fulani. Watu walienda mbali zaidi wakasema jamaa kwanza ni muislamu hivyo ule wimbo angerekodia kwenye mazingira yanayomhusu na sio kanisani.

Sasa leo Joti kaachia kazi yake ya sanaa ambayo pia inadharirisha imani fulani. Kwamba anachodepict kwenye hii video ni kwamba uislamu unaozesha watu wa jinsia moja.

Joti anafahamu kabisa kua katika uislamu kujifananisha na jinsia tofauti ni kosa na hairuhusiwi (wakati akiwa orijino komedi walienda kwa sheikh wa mkoa sheikh alhad akawaambia hilo suala). Na pia Joti yeye ni mkristo so hiyo video angeenda kurekodia kanisani.

Nikweri
 
Back
Top Bottom