Kama ilivyokuwa kwa Diamond Platnumz, Joti naye achukuliwe hatua...

Kama ilivyokuwa kwa Diamond Platnumz, Joti naye achukuliwe hatua...

Tatizo waislamu tunakuwa wakali tunapofanyiwa malipo! Tunatakiwa kutulia ituingie vizuri!
Mbona wenzetu wametulia lakini?
 
Suala sio kuigiza kama mwanamke Hilo waislamu walisha liongea Kuna sheikh alimpa ushauri joti miaka ya nyumba kuwa sio vizuri mwanaume kujifananisha na mwanamke lkn hayo ni maisha yake binafsi aliyochagua mbona Kuna yule dogo dulivan anaigiza kama mwanamke na ni muislamu lkn waislamu hawajatoa makasiriko zaidi ya kumuusia kwamba kidini haifai.

Hoja iliyopo hapa Kuna kwenye hio video Kuna sheikh anaonyeshwa anafungisha ndoa wanaume, na wakati ushoga ni uasi mkubwa katika uislamu afu kingine video ya diamond ilizua taflani ikidaiwa inadhalilisha ukiristo

Sasa na hii inatakiwa ichukuliwe hatua kama video ya diamond
You are right, Kama vigezo ni vilevile walivyotumia kuifungia ya Diamond basi hii video inapaswa kufungiwa haraka sana ...

However mimi nachosema Hii video ya Joti na iLe ya mondi, zote hazina shida yoyote
 
Kwa hapo joti yupo msikitini? Au ulivaa kanzu tu unakua muislamu?
 
Wakuu salaam,

Siku kadhaa zilizopita msanii Diamond alifungiwa wimbo wake kwa maelezo kwamba unadharirisha imani ya watu fulani. Watu walienda mbali zaidi wakasema jamaa kwanza ni muislamu hivyo ule wimbo angerekodia kwenye mazingira yanayomhusu na sio kanisani.

Sasa leo Joti kaachia kazi yake ya sanaa ambayo pia inadharirisha imani fulani. Kwamba anachodepict kwenye hii video ni kwamba uislamu unaozesha watu wa jinsia moja.

Joti anafahamu kabisa kua katika uislamu kujifananisha na jinsia tofauti ni kosa na hairuhusiwi (wakati akiwa orijino komedi walienda kwa sheikh wa mkoa sheikh alhad akawaambia hilo suala). Na pia Joti yeye ni mkristo so hiyo video angeenda kurekodia kanisani.

sahv sasa na sie tulio zalilishwaga na bwana almasi acha tuseme..joti yupo sahihi kwa mimi sioni ukakasi wowote hapo kwnye video yake..inshort ni sanaa tuh na hata hvo anapeperusha bendera... " ndugu zangu katika imani tuheshimiane na tuungane mikono anapokosea mtu imani ya mtu mwengine ..watu walilaumu sana wakabeza basata ilchokifany kwa bwana almasi... tuwe na akili tuache kuwasujudia watu kwasababu ya majina... acha nae joti atambe mpk basata watakapo amua...kama mtu utakua unamalalamiko wasilisha balaza la sanaa
 
Jamaa anaudhalilishaga sana uislam

Ova
 
Ahueni na nyinyi sasa mtapitia maumivu kama tunayopitia sisi pale ndugu zenu wanapoleta masihara katika imani yetu.

Ikiwapendeza, mchomeni tu moto kwa kuikashifu dini yenu ya haki.

Haswaaaa
Wameshikwa pale pale… acha dawa iwaingie
 
Fala sana ww jamaa, hiyo dini ndio kielelezo cha umasikiniii hawana mpya.

Wanafia dini, pesa zinawapigaga chenga, angalia hata mikoa waliomo ndio ipo nyuma.
We mjinga unajua maisha ni kutafuta pesa tu.?????? Ukishakuwa na pesa ndio mwisho wake ni nini.???? Acha uk*m* pesa sio kila kitu.

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu salaam,

Siku kadhaa zilizopita msanii Diamond alifungiwa wimbo wake kwa maelezo kwamba unadharirisha imani ya watu fulani. Watu walienda mbali zaidi wakasema jamaa kwanza ni muislamu hivyo ule wimbo angerekodia kwenye mazingira yanayomhusu na sio kanisani.

Sasa leo Joti kaachia kazi yake ya sanaa ambayo pia inadharirisha imani fulani. Kwamba anachodepict kwenye hii video ni kwamba uislamu unaozesha watu wa jinsia moja.

Joti anafahamu kabisa kua katika uislamu kujifananisha na jinsia tofauti ni kosa na hairuhusiwi (wakati akiwa orijino komedi walienda kwa sheikh wa mkoa sheikh alhad akawaambia hilo suala). Na pia Joti yeye ni mkristo so hiyo video angeenda kurekodia kanisani.

Umejipa kazi ya promoter kwa ujira gani?
 
Joti kazingua sana analeta migongano ya kidini. Kazi ifungiwe haifai. Anaboa sana anavyojigeuza kwa mavazi ya kike, ucheshi mwingine ovyo
 
hakuna Joti hapo ni binti Kiboga,na jinsia moja haipo hapo na wala dua haikusomwa, acha upuuzi kale kiti moto
 
Back
Top Bottom