Kama ilivyokuwa kwa Diamond Platnumz, Joti naye achukuliwe hatua...

Kama ilivyokuwa kwa Diamond Platnumz, Joti naye achukuliwe hatua...

😂😂😂😂 Kumbe wewe kiazi upo kidini zaidi.
Mi nikajua najibizana na GT mwenzangu kumbe wewe ushalishwa matangopori na na viongozi wako wa kidini ambao wana akili za kipumbavu kama zako.

Sasa tuliza bichwa hilo kijana, hapo huyo bwan mdogo kaigiza tu wala sio uhalisia, kuhusu diamond tafuta comment yangu kama nilicomment chochote kuhusu hiyo kitu usiwe unakurupuka kuattack watu tu hovyo.

Sio kila anaesema haoni cha ajabu pale basi ni mkristo, na sio kila anaesema achukuliwe hatua za kisheria basi ni muislam, na sio waislam wote wana akili za kipopoma kama zako.
Hufai hata kua kiongozi wa familia wewe, omba Mungu akupe mke mwenye akili zaidi yako, la sivyo kizazi chako kitaangamia.
Kama na wewe unajiona GT kwa kuandika matapishi humu basi hili neno GT labda liwe lilibadilishwa maana,

Umebeba kichwa ili kutenganisha masikio yako tu badala ya kukitumia kufikiri,

Najua ujumbe wangu umekuingia kisawa sawa,kilichobaki nakuona unaruka ruka tu hovyo kama Kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachiwa ghafla.
 
😃😃😃 Ujumbe gani ulioutoa hapo??

Hizi dini usipokua makini unakua mfuasi kiazi kama ulivyo wewe!!.
Waislam wenye akili hawawezi kasirika kwa hicho kitu coz wanaelewa ni ujumbe gani joti alikua anauwasilisha, ila wewe ambae hata huswali, unafunga kama fashion, huendi msikitini(hata leo hujaenda) ndo unaleta maksiriko hapa😃😃.
 
Mimi ni mkristo sitetei udhalilishaji wa dini yeyote

Apiga ban kama amekashifu uislamu hakuna cha double standards.
 
Diamond kadhalilisha imani ya watu haijapita hata muda Joti anarudisha goli la kusawazisha ngoma dro moja moja mchezo unaendelea

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Diamond kadhalilisha imani ya watu haijapita hata muda Joti anarudisha goli la kusawazisha ngoma dro moja moja mchezo unaendelea

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Kwa akili hizi bora uongozi wa Jf walivyoondoa neno la "Home of great thinker" yaani unachukulia ushabiki kama mambo ya Simba na Yanga eti "Joti kasawazisha ngoma droo" 😂😂😂😆 kwa hiyo mtu aibaka mtoto wa mtu na basi inapaswa na yeye atoe chambo mtoto wake akafanyiwe kitendo kile ili ngoma isawazishwe iwe droo ?
 
Kwa akili hizi bora uongozi wa Jf walivyoondoa neno la "Home of great thinker" yaani unachukulia ushabiki kama mambo ya Simba na Yanga eti "Joti kasawazisha ngoma droo" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji38] kwa hiyo mtu aibaka mtoto wa mtu na basi inapaswa na yeye atoe chambo mtoto wake akafanyiwe kitendo kile ili ngoma isawazishwe iwe droo ?
Nyie si mlifurahia sasa hapo mnaonaje na wengine wakifurahia.

Mkuki si kwa Nguruwe Mtamu hata kwa Binadamu uwe mtamu basi.

Ngoma draw drama ziendelee.

Great Thinkers bongo utopolo mtupu.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Huu Ni udhalilishaji dhidi ya uislam,
Waislam hawana utaratibu wa ndoa za jinsia moja.

Hii Ni kesi Kubwa,
Asipokua Makin itamsumbua sana joti
Elimu yako ni ipi mzee?

Simple reasoning kama hii inakushinda?
 
😃😃😃 Ujumbe gani ulioutoa hapo??

Hizi dini usipokua makini unakua mfuasi kiazi kama ulivyo wewe!!.
Waislam wenye akili hawawezi kasirika kwa hicho kitu coz wanaelewa ni ujumbe gani joti alikua anauwasilisha, ila wewe ambae hata huswali, unafunga kama fashion, huendi msikitini(hata leo hujaenda) ndo unaleta maksiriko hapa😃😃.
Binti naona umeishia kujichekesha chekesha hovyo tu,hii si dalili nzuri kua makini.
 
Kwa nilivyoitazama, Joti ameigiza kama Mwanamke na hakuigiza kama kaka poa. Ni mwanamke ambae amelazimisha Ndoa kwa Udi na Uvumba ili aondoe mkosi, kwasababu mpaka kufikia Umri wa miaka Arobaini na tano (45) alikuwa bado hajaolewa.

Na hakutaka kuvuka mipaka kufikia kwenye Dua amewazuia waliomuozesha kumuombea Dua, bila shaka kama angeombewa Dua ingeonekana kama angejeruhi hisia za watu na alichokifanya akawapigia mruzi watu wake wa Baikoko aliokuwa amewaandaa kwa ajili ya Sherehe za Harusi yake.

Ni maigizo tu, na lengo wala si kukashifu Imani ya mtu yoyote yule.

Kwa msioitazama hiyo Video, hebu itazameni yote hadi mwisho halafu mtaona ni tofauti sana na jinsi Mada ilivyowasilishwa
 
Kwa nilivyoitazama, Joti ameigiza kama Mwanamke na hakuigiza kama Dada poa. Ni mwanamke ambae amelazimisha Ndoa kwa Udi na Uvumba ili aondoe mkosi, kwasababu mpaka kufikia Umri wa miaka Arobaini na tano (45) alikuwa bado hajaolewa.

Na hakutaka kuvuka mipaka kufikia kwenye Dua amewazuia waliomuozesha kumuombea Dua, bila shaka kama angeombewa Dua ingeonekana kama angejeruhi hisia za watu na alichokifanya akawapigia mruzi watu wake wa Baikoko aliokuwa amewaandaa kwa ajili ya Sherehe za Harusi yake.

Ni maigizo tu, na lengo wala si kukashifu Imani ya mtu yoyote yule.

Kwa msioitazama hiyo Video, hebu itazameni yote hadi mwisho halafu mtaona ni tofauti sana na jinsi Mada ilivyowasilishwa
Ndoa za kiislamu hazifungwi mpaka muoaji na muolewaji waulizwe kama wameridhika,

Ukiangalia hiyo clip mwanaume analazimishwa na Joti kuoa! Tena anapigwa ili akubali kuoa! Kitendo ambacho kwenye uislamu sio hivyo,

Kama walivyodai humu kwanini Diamond aliimbia Kanisani nae sio mkristo? Sasa kwanini na Joti hakufungishwa ndoa kwa imani ya dini yake ya kikristo?
 
Nimekuelewa vizuri sana.

Kwa pale ni maigizo tu, sijaona sababu kwa baadhi ya walioguswa walichukulie hili kama vile imekashifiwa imani ya mtu
 
Back
Top Bottom