Kama ipo ipo tu; CCM na Rais Samia wanazidi kudharauliwa na Watanzania, CHADEMA inazidi kukubalika

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Ziara ya Drogba na Rais Ruto ina umuhimu gani kwa maisha ya mtanzania amabae anaishi kijihini ambapo maji na umeme ni tatizo kubwa.

Mpaka sasa Watanzania wengi wanaoishi vijijini na hata miji mikubbwa kama Mwanza na Dar majji tatizo..

Ziara ya Ruto ina umuhomu gani kwa Tanzania. Ujenzi wa oil rifinery ambayo hata Rais Watanzania hajui mpango wake? Drogba kuja Tanganyika kuenda Bungeni na Ikulu inasaida nini kuokoa maisha ya Watanganyika?
 
Kutukana matusi hadharani dhidi ya kuteka, kuua, kuiba kura, kufunga wapinzani kwa hila, ubadhirifu wa mali ya umma, ufisadi, rushwa iliyokithiri, nk kipi chenye unafuu?
Ninakupongeza kwa kukiri kuwa kutukana ni kosa.
 
Ziara ya Drogba na Rais Ruto ina umuhimu gani kwa maisha ya mtanzania amabae anaishi kijihini ambapo maji na umeme ni tatizo kubwa.

Mpaka sasa Watanzania wengi wanaoishi vijijini na hata miji mikubbwa kama Mwanza na Dar majji tatizo..

Ziara ya Ruto ina umuhomu gani kwa Tanzania. Ujenzi wa oil rifinery ambayo hata Rais Watanzania hajui mpango wake? Drogba kuja Tanganyika kuenda Bungeni na Ikulu inasaida nini kuokoa maisha ya Watanganyika?
Mjane wa Marehemu shetani lenu la Chato unataabika kweli kweli.
Kwa kuwa nchi ina hayo matatizo kwa hiyo hutaki tutembelewe na wageni
 
Ziara ya Drogba na Rais Ruto ina umuhimu gani kwa maisha ya mtanzania amabae anaishi kijihini ambapo maji na umeme ni tatizo kubwa.

Mpaka sasa Watanzania wengi wanaoishi vijijini na hata miji mikubbwa kama Mwanza na Dar majji tatizo..

Ziara ya Ruto ina umuhomu gani kwa Tanzania. Ujenzi wa oil rifinery ambayo hata Rais Watanzania hajui mpango wake? Drogba kuja Tanganyika kuenda Bungeni na Ikulu inasaida nini kuokoa maisha ya Watanganyika?
Nikiwaambieni hapa kuwa viongozi waislamu ndiyo walio ikwamisha nchi wapumbavu mnadanganywa na waislamu kuwa ni nyerere....mtu akisha amini tu katika uislamu na Muhammad na Allah tayari huyo ni ANITHI WA AKILI...SASA VP ANITHI WA AKILI AWEZE KUONGOZA NCHI?
 
Back
Top Bottom