Kama Iran hawakumuelewa Netanyahu, Walitakiwa kumuelewa rais wao mstaafu Mahmoud Ahmadinejad. Israel iko kila kona Iran

Huyu rais mstaafu huwa namwelewa sana.
 

Hii ndiyo hatua ambayo italeta utulivu na heshima pale mashariki ya kati. Wakipigana kweli kweli mpaka waseme basi wenyewe, hapo ndiyo utakuwa mwisho wa safari ya vita eneo lote hili.
 
Iran sio Tanzania kuwa watu elfu moja (1000) wanatawanywa na askari wa 3 , wako tayari kwa lolote wale
 

Kwa hiyo ni mnyukano kati ya wagalatia wa igoma na waarabu wa itilima.
Ni balaa.
 
Mtumishi upo zako buza ushajua iran alipokosea na jinsi gani israel atareact πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kile kijirais cha Iran kilichouliwa na Israel hayakuwa maslahi ya Iran? πŸ˜‚πŸ€£
 
Basi ni kwamba Iran inajua kila mpaka kuuliwa kwa Rais wake ,halafu ishu ya kufa kwa viongozi pale ni kawaida ...Iran karusha mabomu yale kulinda heshima tu basi ili Israel asizidi kumdharau ila alikuwa hana mda wa kulipiza .

Iran analenga sehemu za majeshi sio wananchi wasiokuwa na hatia , usichokijua Utawala wa Iran na israel wote wamekalia kuti kavu ...Netanyhulu analinda kibarua chake kwa shinikizo la wtu la bado kuwa watu wanampinga , vivyo hivyo kwa Iran ndio maana Netanyuhlu anatumia propaganda za kumchafua kiongozi wa Iran ili kuungwa mkono na wairan .

Hii ngoma ni mbichi wale wanamjua israel ....Israel ana nafasi moja tu ya kummaliza Ayatollah ijumaa ijayo maana ataongoza sala kubwa hapo Iran ....Atakuwepo hadharani kumbuka jamaa alishawahi kushambuliwa enzi za urais ndio maana mkono wakee mmmoja haufanyi kazi .....
 
Iran sio Tanzania kuwa watu elfu moja (1000) wanatawanywa na askari wa 3 , wako tayari kwa lolote wale
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwamba Tanzania askari watatu(3) tu, wanatosha kutawanya raia 1000?

Tutake radhi Watanzania mkongwe!
 
Hahaaaaaa ni mtifuano wa wakaldayo na wakureshi. Kuna mkureshi mmoja anaitwa Ritz sidhani kama anapata muda wa kuswaki. Yeye huwa anatuletea za ndaniii toka Ikulu ya Iran. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Huyo Department imemtengenezea dawa maalumu ya kusukutua anatembea nayo mfukoni muda wote, hana muda wa kuswaki.
 

Waisiraeli wa buza mnapougulia ndani kwa ndani baada ya kipigo Cha mbwa koko.

Kwani kwa aliyekuwa akiyafanya huyo ndugu mlipenda Kila mtu akenue tu kama nyie?
 
Sasa kwanini yupo mgongoni mwa USA, UK na NATO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…