Kama jambo dogo tu kusimamia Mwendokasi tumeshidwa ni kitu gani tunaweza kufanya kwa 100% ?

Kama jambo dogo tu kusimamia Mwendokasi tumeshidwa ni kitu gani tunaweza kufanya kwa 100% ?

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Mfano suala ili la Mwendokasi serikali ambayo ina kila kitu lakini Imeshindwa kabisa kuendesha mwendo kasi waafrika hasa Watanzania ni kitu gani tunaweza.

Kama jambo dogo tu kusimamia Mwendokasi tumeshidwa ni kitu gani tunaweza kufanya kwa 100% Come on Oneni aibu basi
 
Perhaps fake human beings do exist and most likely in Africa continent.

Unajua, ,wakati wengine tunaumizwa na yanayoendelea humu nchini, kuna watu wengine wako comfortable kwa asilimia 200 kama hakuna linalotokea na hawana habari kabisa na wengine wakiwa hat uhakika wa kipato cha siku hawana.
 
Fake human beings do exist and most likely in Africa continent.

Unajua, ,wakati wengine tunaumizwa na yanayoendelea humu nchini, kuna watu wengine wako comfortable kwa asilimia 200 kama hakuna linalotokea na hawana habari kabisa na wengine wakiwa hat uhakika wa kipato cha siku hawana.
Alafu viongozi wanzunguka kuomba kura kusimamia Mwendokasi tu mmeshidwa mnazunguka kuomba kura za nini kuendelea kutesa watanzania kweli. Alafu watu wakikumbuka Magufuli watu wanasema sijui yule alikua muuaji amekufa Je Mauaji yameisha? Mzee kama alikufa kifo ambacho sio mpango wa Mungu tuko hapa karma lazima itafanya kazi yule Mzee tulimuitaji sana kwa maendeleo ya NCHI
 
Foleni za Dar es Salaam sijui zimetengenezwa makusudi ili watu wanunue zaidi mafuta kwenye vituo vya mafuta? Yaani hii nikuanzi kuboma sehemu ya Barabara bila kurekebisha kwa wakati, Askari kuingilia kazi za taa barabarani....nakadhalika nakadhalika!!!
Siamini kama hakuna suluhisho ya foleni za Dar es Salaam.

Sijagusia suala la usafiri wa mwendo Kasi kwa makusudi
 
Mimi hua najiuliza tu km pale kigamboni vile vivuko vimewashinda yaan kusimamia tu na wateja wapo wa kutosha njoo kwenye mwendo kasi napo ni majanga sasa sijui huko kwenye kodi zetu usimamizi ukoje ****Magufuri alijaribu kulejesha uwajibikaji ila sasa hivi ni zero minus zero ..
 
Mfano suala ili la Mwendokasi serikali ambayo ina kila kitu lakini Imeshindwa kabisa kuendesha mwendo kasi waafrika hasa Watanzania ni kitu gani tunaweza.

Kama jambo dogo tu kusimamia Mwendokasi tumeshidwa ni kitu gani tunaweza kufanya kwa 100% Come on Oneni aibu basi
Hili genge la sasa kipaumbele, focus yao ni moja tu. Kuhamisha kodi, mikopo,mali na rasilimali za Tanganyika kwenda kwenye familia zao na genge lao.

Hawajali chochote kuhusu maisha ya Watanganyika.
 
Mimi hua najiuliza tu km pale kigamboni vile vivuko vimewashinda yaan kusimamia tu na wateja wapo wa kutosha njoo kwenye mwenxmdo kasi napo ni majanga sasa sijui huko kwenye kodi zetu usimamizi ukoje ****Magufuri alijaribu kulejesha uwajibikaji ila sasa hivi ni zero minus zero ..
Kumbuka hawa jamaa pia ni monopoly, unashindwaje biashara na upo peke yako na wateja kibao? Halafu unashangaa oh tumepata mwekezaji
 
Wizi wa rasilimali na kura, ufisadi, uchawa , udalali na uuzaji wa rasilimali

Hii picha unaweza kudhani ni kibonzo ila ni uhalisia.

Watoto wa mafisadi wamo ndani ya bugatti halafu walipa kodi wamesongamana kama magunia.
IMG-20250923-WA0002.jpg

 
Mfano suala ili la Mwendokasi serikali ambayo ina kila kitu lakini Imeshindwa kabisa kuendesha mwendo kasi waafrika hasa Watanzania ni kitu gani tunaweza.

Kama jambo dogo tu kusimamia Mwendokasi tumeshidwa ni kitu gani tunaweza kufanya kwa 100% Come on Oneni aibu basi
Kununua ma VX V8 kwa kila mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, makamishna, wakurugenzi nk
 
Mimi naona waje wazungu watutawale tu tuanze upya tumeshidwa kujitawala kwanza watu weusi wa binafsi wezi wa mali za Umma tofauti na wenzetu wazungu sisi watu wenye akili tunawapa kesi za uhaini sasa si bora waje wazungu watutawale tutapata maendeleo haiwezekani miaka yote matatizo yaleyale ina maana wameshindwa
 
Nchi nyingine kama Uarabuni, China wanaiba lakini bado wanajitahidi kujenga nchi zao, kusimamia maslahi ya nchi zao na watu wao. Kwetu ni tofauti.
 
Kumbuka hawa jamaa pia ni monopoly, unashindwaje biashara na upo peke yako na wateja kibao? Halafu unashangaa oh tumepata mwekezaji
Ndo ujiulize alafu wanakuja kuomba kura mwendo kasi wameshidwa wataweza mambo makubwa walitwambia Gas ya Mtwara ingemaliza tatizo la Umeme na gas ya kupikia lakini wapi hawa bora waje wazungu watutawale watu weusi tumeshidwa kujitawala
 
Ila kwa kununua ma VX V8 hiyo bajeti haikosekani.
Mawaziri , nakatibu wakuu, wakurugenzi, wabunge wengi wana mpaka PhD, hata huyo mkuu wa nwendokasi eti nae ana PhD, lakini kusimamia mabasi mia mbili hawawezi... NO IDEA KABISA.
HUYU MKUU WA MWENDOKASI SASA HIVI ANA NABASI MAWILI MAPYAAAAA YANAPIGA ROUTE YA KOROGWE/ MBAGALA.
NAONA ALIPEWA ZAWADI NA WACHINA ILI ASHAWISHIKE ANUNUE YALE
 
Ni roho mbaya tu za wafanyakazi na kutajali waafrica wenzao kuwahufumia.Malalamiko miaka 3 na hatuchukui hatua ya kuifuta mwendokasi.
 
Back
Top Bottom