UtekajiMfano suala ili la Mwendokasi serikali ambayo ina kila kitu lakini Imeshindwa kabisa kuendesha mwendo kasi waafrika hasa Watanzania ni kitu gani tunaweza.
Kama jambo dogo tu kusimamia Mwendokasi tumeshidwa ni kitu gani tunaweza kufanya kwa 100% Come on Oneni aibu basi
Wanachojua ni kununua ma VIEITE na mabasi mengi wanayapiga rangi ya kijani na kwenda kuchukulia form kwa msafara daah kodi zetu zinachezewa chezewa kweli kudadaekiMfano suala ili la Mwendokasi serikali ambayo ina kila kitu lakini Imeshindwa kabisa kuendesha mwendo kasi waafrika hasa Watanzania ni kitu gani tunaweza.
Kama jambo dogo tu kusimamia Mwendokasi tumeshidwa ni kitu gani tunaweza kufanya kwa 100% Come on Oneni aibu basi
Kila mtu anafikiria kuiba na kufanya ufisadi.Perhaps fake human beings do exist and most likely in Africa continent.
Unajua, ,wakati wengine tunaumizwa na yanayoendelea humu nchini, kuna watu wengine wako comfortable kwa asilimia 200 kama hakuna linalotokea na hawana habari kabisa na wengine wakiwa hat uhakika wa kipato cha siku hawana.
Ukiona wamiliki wa ma Bus wanaendelea kuagiza mabasi kwa wingi ni kwa sababu wanajua baada ya muda mfupi ujao SGR itabaki makumbushoInasikitisha sana.
Sasa kama hii project Iko hivi, what about SGR after 5 years?
Fake human being? There's no such a thing.Perhaps fake human beings do exist and most likely in Africa continent.
Unajua, ,wakati wengine tunaumizwa na yanayoendelea humu nchini, kuna watu wengine wako comfortable kwa asilimia 200 kama hakuna linalotokea na hawana habari kabisa na wengine wakiwa hat uhakika wa kipato cha siku hawana.
Nadhani wanafanya makusdi kabisa, wametembea nchi karibia zote na kuona vile mambo yanaenda. Nchi ina kila kitu lakini basics needs kusambaza kote tumeshindwa kabisa, inauma sanaNdo ujiulize alafu wanakuja kuomba kura mwendo kasi wameshidwa wataweza mambo makubwa walitwambia Gas ya Mtwara ingemaliza tatizo la Umeme na gas ya kupikia lakini wapi hawa bora waje wazungu watutawale watu weusi tumeshidwa kujitawala
Wanafanya makusdi mkuu, kuna weusi kibao nje wanafanya mambo makubwa.Sisi ngozi nyeusi kichwani hatuko sawa kwa kweli kuna mambo ukiyafuatilia