Alafu viongozi wanzunguka kuomba kura kusimamia Mwendokasi tu mmeshidwa mnazunguka kuomba kura za nini kuendelea kutesa watanzania kweli. Alafu watu wakikumbuka Magufuli watu wanasema sijui yule alikua muuaji amekufa Je Mauaji yameisha? Mzee kama alikufa kifo ambacho sio mpango wa Mungu tuko hapa karma lazima itafanya kazi yule Mzee tulimuitaji sana kwa maendeleo ya NCHIFake human beings do exist and most likely in Africa continent.
Unajua, ,wakati wengine tunaumizwa na yanayoendelea humu nchini, kuna watu wengine wako comfortable kwa asilimia 200 kama hakuna linalotokea na hawana habari kabisa na wengine wakiwa hat uhakika wa kipato cha siku hawana.
Hili genge la sasa kipaumbele, focus yao ni moja tu. Kuhamisha kodi, mikopo,mali na rasilimali za Tanganyika kwenda kwenye familia zao na genge lao.Mfano suala ili la Mwendokasi serikali ambayo ina kila kitu lakini Imeshindwa kabisa kuendesha mwendo kasi waafrika hasa Watanzania ni kitu gani tunaweza.
Kama jambo dogo tu kusimamia Mwendokasi tumeshidwa ni kitu gani tunaweza kufanya kwa 100% Come on Oneni aibu basi
Kumbuka hawa jamaa pia ni monopoly, unashindwaje biashara na upo peke yako na wateja kibao? Halafu unashangaa oh tumepata mwekezajiMimi hua najiuliza tu km pale kigamboni vile vivuko vimewashinda yaan kusimamia tu na wateja wapo wa kutosha njoo kwenye mwenxmdo kasi napo ni majanga sasa sijui huko kwenye kodi zetu usimamizi ukoje ****Magufuri alijaribu kulejesha uwajibikaji ila sasa hivi ni zero minus zero ..
Kununua ma VX V8 kwa kila mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, makamishna, wakurugenzi nkMfano suala ili la Mwendokasi serikali ambayo ina kila kitu lakini Imeshindwa kabisa kuendesha mwendo kasi waafrika hasa Watanzania ni kitu gani tunaweza.
Kama jambo dogo tu kusimamia Mwendokasi tumeshidwa ni kitu gani tunaweza kufanya kwa 100% Come on Oneni aibu basi
Sisi ngozi nyeusi kichwani hatuko sawa kwa kweli kuna mambo ukiyafuatiliaKumbuka hawa jamaa pia ni monopoly, unashindwaje biashara na upo peke yako na wateja kibao? Halafu unashangaa oh tumepata mwekezaji
Ndo ujiulize alafu wanakuja kuomba kura mwendo kasi wameshidwa wataweza mambo makubwa walitwambia Gas ya Mtwara ingemaliza tatizo la Umeme na gas ya kupikia lakini wapi hawa bora waje wazungu watutawale watu weusi tumeshidwa kujitawalaKumbuka hawa jamaa pia ni monopoly, unashindwaje biashara na upo peke yako na wateja kibao? Halafu unashangaa oh tumepata mwekezaji