Kama jambo dogo tu kusimamia Mwendokasi tumeshidwa ni kitu gani tunaweza kufanya kwa 100% ?

Utekaji
 
Wanachojua ni kununua ma VIEITE na mabasi mengi wanayapiga rangi ya kijani na kwenda kuchukulia form kwa msafara daah kodi zetu zinachezewa chezewa kweli kudadaeki
 
Wanachojua ni kununua ma VIEITE na mabasi mengi wanayapiga rangi ya kijani na kwenda kuchukulia form kwa msafara daah kodi zetu zinachezewa chezewa kweli kudadaeki
Hawa watu inatakiwa wajitafakari sans
 
Kila mtu anafikiria kuiba na kufanya ufisadi.
Hukuna wanao chukuliwa hatuwa.
 
Fake human being? There's no such a thing.

With a keen perception utagundua kwamba Tanzania ilikuwa na bado ni heterogeneous country culturally. Kwamba ni vikundi vidogo na vingi vya watu tofauti venye mahitaji tofauti vilivyorundikwa sehemu moja na wakoloni miaka 60 tu iliyopita. Unlike homogeneous countries kama Japan au China. Ambazo zina experience ya centralised leadership for ages.

Hili sio tatizo kubwa wala permanent, for the incoming generations will eventually adapt.

Acha kujilinganisha kwa kutumia viwango vya wengine, ambavyo waliviitengeneza kwa makusudi ili wao kuwa juu. What next, IQ? Or the use of English as a manifestation of intelligence?
 
Mwendokasi ni mradi wawatu demand ipo,njia ipo kuleta mabasi na kuyatengeneza shida inakujia wapi?,Watu walitumia resources za nchi kujaza mabango nchi nzima amefanya hichi amefanya kile kwa maana gani iyo nafasi wangepewa hata wafanya biashara wajitangaze nabado mpaka sasa hivi anazunguka majuukwaani akinadi hichohicho,ufisadi ,kuhujumu mali za Umma nabado hawachoki hawaridhiki factory reset ni muhimu haikwepeki
 
Ndo ujiulize alafu wanakuja kuomba kura mwendo kasi wameshidwa wataweza mambo makubwa walitwambia Gas ya Mtwara ingemaliza tatizo la Umeme na gas ya kupikia lakini wapi hawa bora waje wazungu watutawale watu weusi tumeshidwa kujitawala
Nadhani wanafanya makusdi kabisa, wametembea nchi karibia zote na kuona vile mambo yanaenda. Nchi ina kila kitu lakini basics needs kusambaza kote tumeshindwa kabisa, inauma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…