Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Kwa sababu Wamarekani ni watu ambao wanapenda civil liberties,haki ,za raia,basi njia nzuri ya kumheshimu yule Jenerali aliyefika hapa jana ni kumwachia huru Mbowe.
Yule mtu inaelekea amekuja katika hii safari kwa sababu ameona nchi hii inaanza kuwa na intestinal problems.
Kwamba " Kama Tanzania iko hivi, pack my bag, I want to go there."