Kama Jenerali wa Marekani amewasili nchini, kesi ya Mbowe itatazamwa upya

Kwa sababu Wamarekani ni watu ambao wanapenda civil liberties,haki ,za raia,basi njia nzuri ya kumheshimu yule Jenerali aliyefika hapa jana ni kumwachia huru Mbowe.

Yule mtu inaelekea amekuja katika hii safari kwa sababu ameona nchi hii inaanza kuwa na intestinal problems.

Kwamba " Kama Tanzania iko hivi, pack my bag, I want to go there."
Weka vizuri story yako
 
Kwa hiyo generali wanaoua watubkwenye mataifa mengine ndo awe mtu wa haki za watu
 
Mimi I was just floating an opinion. Kama maoni yangu hayafai nitaifuta kauli yangu ili Mbowe aende mahakamani.
Watu taahira,kama Mtikila. Hawapendi kwenda mahabusu lakini wanapenda kwenda mahakamani. Wanapata faraja wakimsikia hakimu na wanasheria na mawakili
Biblia inasema,"Hakuna mtu mwenye hekima kati yenu kusikiliza mashauri yemu mpaka mnakwenda mahakamani kwa makafir.
 
Ukweli ni kwamba tunahitaji support washirika wa maendeleo , US,Ger.... Ni aibu na fedheha kuharibu mahusiano kwa sababu za kijinga na makusudi. Jana Mama kazindua hospitali maalumu ya Jeshi Lugalo na miradi kadhaa,fully&well equiped sio Yale maboma yetu ya sifa pekee, pia ahadi hospital mpya Dodoma 20 B.... Mwakani kwa hisani ya raia na serikali ya Ujerumani.
 
Mtoa mada na wenzako wa chadema endeleeni kujidanganya, huyo komando wa USA mwenyewe amesema Tz ni moja ya nchi zinazolinda amani.
 
Kwa sababu Wamarekani ni watu ambao wanapenda civil liberties,haki ,za raia,basi njia nzuri ya kumheshimu yule Jenerali aliyefika hapa jana ni kumwachia huru Mbowe.

Yule mtu inaelekea amekuja katika hii safari kwa sababu ameona nchi hii inaanza kuwa na intestinal problems.

Kwamba " Kama Tanzania iko hivi, pack my bag, I want to go there."
Acha kudanganya huyo kaja kijeshi zaidi kuna mafunzo ya pamoja ya jeshi la tz na jeshi la marekani hapa kunduchi kikosi maalum.
 
Uhusiano wa Marekani na Mbabe wa Egypt General Abdul fattah Alsisi ni bora kuliko uhusiano wao na Ghana ambayo ndio kinara wa Demokrasia Africa

Beberu anaitumia 'Demokrasi' kama chambo tu, akipata maslahi yake hana muda na demokrasia yako
Kwa sababu Wamarekani ni watu ambao wanapenda civil liberties,haki ,za raia,basi njia nzuri ya kumheshimu yule Jenerali aliyefika hapa jana ni kumwachia huru Mbowe.

Yule mtu inaelekea amekuja katika hii safari kwa sababu ameona nchi hii inaanza kuwa na intestinal problems.

Kwamba " Kama Tanzania iko hivi, pack my bag, I want to go there."
 
Kwa sababu Wamarekani ni watu ambao wanapenda civil liberties,haki ,za raia,basi njia nzuri ya kumheshimu yule Jenerali aliyefika hapa jana ni kumwachia huru Mbowe.

Yule mtu inaelekea amekuja katika hii safari kwa sababu ameona nchi hii inaanza kuwa na intestinal problems.

Kwamba " Kama Tanzania iko hivi, pack my bag, I want to go there."
Si kweli, hka kanchi kadogo sana mbele ya Marekani, lakini kakubwa sana katika Ulimwengu wa roho, pia historia wanajua Afrika Ni Tanzania.
 
Kwa sababu Wamarekani ni watu ambao wanapenda civil liberties,haki ,za raia,basi njia nzuri ya kumheshimu yule Jenerali aliyefika hapa jana ni kumwachia huru Mbowe.

Yule mtu inaelekea amekuja katika hii safari kwa sababu ameona nchi hii inaanza kuwa na intestinal problems.

Kwamba " Kama Tanzania iko hivi, pack my bag, I want to go there."
Waachie wenye uwezo wa kuanzisha nyuzi za maana waendelee wewe endelea kusoma vomments mkuu.
 
Mtume Muhammad aliongelea kuhusu watu kusameheana makosa waliyofanya kabla ya Uislamu.

Joe Biden anapata Security briefing Kila asubuhi. Anauliza," what's happening"? Anaambiwa,"leo, nothing much,isipokuwa tu kule Tanzania kiongozi wa Upinzani ameswekwa mahabusu."
Wewe na akili zako unamsikiliza mtu kama Muham-madness
 
Kwa sababu Wamarekani ni watu ambao wanapenda civil liberties,haki ,za raia,basi njia nzuri ya kumheshimu yule Jenerali aliyefika hapa jana ni kumwachia huru Mbowe.

Yule mtu inaelekea amekuja katika hii safari kwa sababu ameona nchi hii inaanza kuwa na intestinal problems.

Kwamba " Kama Tanzania iko hivi, pack my bag, I want to go there."
Jinga
Intestinal problems?
Jinga tu. Yaani kuna mijitu mtindo wao wa kufikiri ndio wa wengi nchi hii tutabaki wala makombo milele.
 
Kwa sababu Wamarekani ni watu ambao wanapenda civil liberties,haki ,za raia,basi njia nzuri ya kumheshimu yule Jenerali aliyefika hapa jana ni kumwachia huru Mbowe.

Yule mtu inaelekea amekuja katika hii safari kwa sababu ameona nchi hii inaanza kuwa na intestinal problems.

Kwamba " Kama Tanzania iko hivi, pack my bag, I want to go there."
Umerudia kusoma ulichoandika?
 
Back
Top Bottom