Kama Jenerali wa Marekani amewasili nchini, kesi ya Mbowe itatazamwa upya

Mbowe, Mbowe, Mbowe for what? Hivi ndo amebeba vichwa vyenu? Mtu rubbish ndo akutese?
 
Umerudia kusoma ulichoandika?

Umerudia kusoma ulichoandika?
Kwa sababu kama unataka watu wawe washirika wako,hutaki tena wapigane wao kwa wao.
Wamarekani kama wanakuja hapa kufanya military exercises na JW,ni nani,basi anayesema wake ni adui zetu?
Hata charge zenyewe sina hakika kama zimetajwa kwa usàhihi. Maybe they want to hide the charges and blackmail the poor fellow.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…