MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
Kwenye hotuba ya Mama lao Pale Mosjo anaonekana kulalmikia Jeshi la police hasa kwenye upigaji wa pesa, inavyo elekea wanapiga sana pesa za umma, na hizo ndio hizo hizo tozo tunazo tozwa.
Hio moja je Mama ana fikiria Pilice hao wanaweza vipi sasa kulinda Raia na Mali zao? Je, wanaweza saidia kwenye vita dhidi ya Rushwa?
Rushwa ni kama wizi, sasa kama Taasisi inayo paswa kulinda wizi na yenyewe ni wezi how come waendelee kulinda mali?
Mbaya zaidi wana bembelezwa waache kula rushwa na waacha matumizi mabaya ya pesa hasa bajeti.
Nazani hii nchi tuna safari ndefu sana kwa staili hii tuna safari ndefu mbo ya kufikia mafaniko, yaani hadi tuje tumalize safari ya kubembeleza wezi wa mali za umma tutakuwa tumechoka sana.