Kama Jeshi la Polisi ni la wapigaji ni vipi linaweza kulinda raia na mali zao?

Ibaki ya mtu binafsi,ila makazi na maslahi yao yaboreshwe,ili wasiingie kwenye ushawishi wa kula rushwa.
Suala la wizi na rushwa halihusiani na mshahara. ndio maana nimekutolea mfano wa wenye mishahara mizuri lakini bado wanaiba. Unasema libaki la binafsi, mbona kila awamu mawaziri, makatibu, wakurugenzi wa mashirika huteuliwa wapya Ila wizi bado unaendelea?
 
Nimekueleza maslahi ya mawaziri, wabunge, makatibu wakuu ni makubwa Sana mbona bado wanachukia rushwa? Bado wanaiba?
Maslahi yao hao mawaziri ni makubwa ndiyo,lakini uchukuaji wao wa rushwa siyo kama hizo za askari polisi,polisi anachukua hata elfu 20,na ni wengi wanaochukua kiasi kidogo,hao mawaziri unaosema wanaochukua rushwa,kwanza ni wachache na pesa wanazochukua siyo tu-lakilaki,na naweza kusema ni kutokana na personalities zao.
 
polisi anateuliwa ? ficha upumbavu wako
Kwa hiyo ambae hateuliwi akiboreshewa maslahi hataiba? Ngoja nikubadilishie mfano
Wafanyakazi wa TRA, Ewura, Tpdc, wana mishahara mizuri kuliko taasisi nyingi za serikali, vipi rushwa na wizi hakuna?
 
Tatizo la polisi mfumo wa utawala na utendaji mmbovu, budget ya polisi, mishahara midogo, vigezo vinavyotumika kuwapata.. elimu elimu elimu ya mandata wetu wengi sio nzuri wengi walichezea miswaki.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hao wenye divisheni 4 na miswaki mingi ndio cream inayohitajika kule CCP. Yani wao huonekana kama mwanafunzi mwenye first class degree with honours. 5.0 GPA Kama Lipumba
 
Maslahi yao hao mawaziri ni makubwa ndiyo,lakini uchukuaji wao wa rushwa siyo kama hizo za askari polisi,polisi anachukua hata elfu 20,na ni wengi wanaochukua kiasi kidogo,hao mawaziri unaosema wanaochukua rushwa,kwanza ni wachache na pesa wanazochukua siyo tu-lakilaki,na naweza kusema ni kutokana na personalities zao.
Hii comment yako imenifanya nistuke sana na kuhisi uwezo wako wa akili.
Unataka Askari anayemkata bodaboda achukue rushwa ya bilion kutoka kwa bodaboda? Hujui anachukua kulingana na kilichopo?
Unajua kunaa vitu vingine hadi nabaki kushaangaa. Kwa hiyo waziri kwenye tender ya mabilion achukue rushwa ya sh 10000?
 
Suala la wizi na rushwa halihusiani na mshahara. ndio maana nimekutolea mfano wa wenye mishahara mizuri lakini bado wanaiba. Unasema libaki la binafsi, mbona kila awamu mawaziri, makatibu, wakurugenzi wa mashirika huteuliwa wapya Ila wizi bado unaendelea?
Chukua ratio ya mawaziri wanaochukua rushwa,na ratio ya polisi wanaochukua rushwa,halafu wa-interrogate kwanini wanachukua,polisi wengi watakwambia,maslahi duni,wakati mawaziri sababu zao zitakua tofauti.
 
Kwa hiyo ambae hateuliwi akiboreshewa maslahi hataiba? Ngoja nikubadilishie mfano
Wafanyakazi wa TRA, Ewura, Tpdc, wana mishahara mizuri kuliko taasisi nyingi za serikali, vipi rushwa na wizi hakuna?
Ujue wewe huna akili sawa sawa. Polisi tatizo lao sio Rushwa pekee, hata utendaji mmbovu ambayo ni matokeo ya benefits zao kuwa nyonge. Hao TPDC wana masalahi mazuri na kwa sehemu wanajitahidi kiutendaji. Unashindwa kuelewa nini wewe ? icho kichwa kina maji au kamasi ? Mwanzo nikakuambia Polisi kuna shida ya mfumo , masalahi pamoja na elimu. Ukija kwenye mfumo unazungumzia mambo zaidi ya mawili au matatu. Kuna Utawala, Kuna utendani n.k hayo yote lazima ku deal nayo kutoa kwenye shina.. Jeshi la Polisi pia kubwa, kiidara likitakiwa liundwe katika mfumo ambazo unarahisi mgawanyo wa majukumu na urahishaji wa utekelezaji sasa wewe si jui unakula maharage ya wapi unashinwa nielewa au una njaaa
 
Hii comment yako imenifanya nistuke sana na kuhisi uwezo wako wa akili.
Unataka Askari anayemkata bodaboda achukue rushwa ya bilion kutoka kwa bodaboda? Hujui anachukua kulingana na kilichopo?
IQ yako itakua na shida,hujui sababu ambayo inafanya huyo polisi achukue hiyo hela,unaleta ubishi,ndiyo maana nakwambia maslahi yao na makazi,yaboreshwe,then ikitokea mtu kachukua rushwa,hiyo itakua ni tatizo lake binafsi,sasa mtu mshahara umeisha,rushwa imeonekana,hivi kwanini asichukue,eti kisa maadili.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hao wenye divisheni 4 na miswaki mingi ndio cream inayohitajika kule CCP. Yani wao huonekana kama mwanafunzi mwenye first class degree with honours. 5.0 GPA Kama Lipumba
Polisi imeskosa mfumo mzuri wa utawala na utendaji, pia hata maslahi. Nilikuwaga na ndoto sana ya kuwa askari hasa katika kitendo cha criminal investigation ila nilipokuaja kuona picha ya tulipo na lilipokuwa linaenda nkaacha nakumbuka sie chuo walikuwa wanatufata hawa
 
Ujue wewe huna akili sawa sawa. Polisi tatizo lao sio Rushwa pekee, hata utendaji mmbovu ambayo ni matokeo ya benefits zao kuwa nyonge. Hao TPDC wana masalahi mazuri na kwa sehemu wanajitahidi kiutendaji. Unashindwa kuelewa nini wewe ? icho kichwa kina maji au kamasi ? Mwanzo nikakuambia Polisi kuna shida ya mfumo , masalahi pamoja na elimu. Ukija kwenye mfumo unazungumzia mambo zaidi ya mawili au matatu. Kuna Utawala, Kuna utendani n.k hayo yote lazima ku deal nayo kutoa kwenye shina.. Jeshi la Polisi pia kubwa, kiidara likitakiwa liundwe katika mfumo ambazo unarahisi mgawanyo wa majukumu na urahishaji wa utekelezaji sasa wewe si jui unakula maharage ya wapi unashinwa nielewa au una njaaa
Huu uandishi wako unasadiki aina ya akili uliyo nayo.

Pili, umehama mada ya rushwa na wizi umekuja kwenye utendaji. Ok, TPDC wanafanya kazi nzuri? Ikiwa wanafanya kazi nzuri rushwa na wizi unatoka wapi?

TPDC si ndio hawa kila mara bungeni walilalamikiwa/wanalalamikiwa kuhusu mchakato wa gesi asilia?
 
IQ yako itakua na shida,hujui sababu ambayo inafanya huyo polisi achukue hiyo hela,unaleta ubishi,ndiyo maana nakwambia maslahi yao na makazi,yaboreshwe,then ikitokea mtu kachukua rushwa,hiyo itakua ni tatizo lake binafsi,sasa mtu mshahara umeisha,rushwa imeonekana,hivi kwanini asichukue,eti kisa maadili.
Wewe una matatizo ya akili. Unataka polisi anayekamata bodaboda achukue shillingi ngapi? Au polisi anayekamata kibaka achukue shillingi ngapi? Nimekueleza rushwa inachukuliwa kulingana na kilichopo. Itachukua rushwa ya millioni kwa dereva wa daladala?
 
Huu uandishi wako unasadiki aina ya akili uliyo nayo.

Pili, umehama mada ya rushwa na wizi umekuja kwenye utendaji. Ok, TPDC wanafanya kazi nzuri? Ikiwa wanafanya kazi nzuri rushwa na wizi unatoka wapi?

TPDC si ndio hawa kila mara bungeni walilalamikiwa/wanalalamikiwa kuhusu mchakato wa gesi asilia?
Wewe hayawani kama hukusoma comment yangu na kuelewa basi . kichwani mwako humo una ma kimba. Usinipotezee mda
 
Huu uandishi wako unasadiki aina ya akili uliyo nayo.

Pili, umehama mada ya rushwa na wizi umekuja kwenye utendaji. Ok, TPDC wanafanya kazi nzuri? Ikiwa wanafanya kazi nzuri rushwa na wizi unatoka wapi?

TPDC si ndio hawa kila mara bungeni walilalamikiwa/wanalalamikiwa kuhusu mchakato wa gesi asilia?
Huwezi ukalimaliza suala la rushwa kwa asilimia mia, niambie wafanyakazi gani sehemu gani rushwa na matumizi mabaya hakuna, hundred percent. Hao watu waovu lazima wawepo na kinachofanyika ni kuwabaini na kuwachukulia hatua stahki. Sasa nakwambia factor zinazochangia rushwa kutamalaki huko polisi, kua ni pamoja na maslahi duni, pamoja na makazi duni pia, hutaki, mbona unanitia wasiwasi na uelewa wako?
 
Sijui kwa nn watu wenye ID mpya mna tatizo la akili.

Mawaziri, wabunge, wakurugenzi, makatibu wakuu wote hao Wana mishahara mizuri je ni waadilifu? Hawaibi? Hawachukui rushwa?
Ukiona wanacholipwa na serikali ya sisiemu utajiuliza sana ile nguvu ya kujimwambafai awa mapoti huwa wanaipata wapi?
Serikali inajua inachowafanyia mapolisi huko nyuma ya pazia ila kwenye uhalisia inajifanya kujisafisha kana kwamba wameboresha maslahi ya polisi kumbe la hasha.

Nikipiga stori na wadogo zangu wanasema kujiongeza ktk kazi ya polisi ndio ujanja maana nchi imavaa miwani ya mbao kuhusu maslahi yao.
 
Huwezi ukalimaliza suala la rushwa kwa asilimia mia,niambie wafanyakazi gani sehemu gani rushwa na matumizi mabaya hakuna,hundred percent...,hao watu waovu lazima wawepo na kinachofanyika ni kuwabaini na kuwachukulia hatua stahki.Sasa nakwambia factor zinazochangia rushwa kutamalaki huko polisi,kua ni pamoja na maslahi duni,pamoja na makazi duni pia,hutaki,mbona unanitia wasiwasi na uelewa wako?
Wewe huna akili, nimekuambia suala la maslahi halihusiani na rushwa na mifano nimekutolea kwa wanaolipwa vizuri lakini bado wanachukua rushwa.

Ma-RPC Wana maslahi mazuri, nao hawachukui rushwa?
 
Ukiona wanacholipwa na serikali ya sisiemu utajiuliza sana ile nguvu ya kujimwambafai awa mapoti huwa wanaipata wapi?
Serikali inajua inachowafanyia mapolisi huko nyuma ya pazia ila kwenye uhalisia inajifanya kuwaponda.

Nikipiga stori na wadogo zangu wanasema kujiongeza ktk kazi ya polisi ndio ujanja maana nchi imavaa miwani ya mbao kuhusu maslahi yao.
Unarudi palepale, mawaziri , wabunge, makatibu wakuu, wakurugenzi wa mashirika Wana maslahi mazuri je wameacha kuchukua rushwa na kuiba?
 
Sikatai hata wenye malipo mazuri hawajaacha kula rushwa/wizi.

Ila ninachomaanisha polisi waboreshewe maslahi,kazi yao ni ngumu maslahi kiduchu.Wadogo zetu wanafanya kazi za kuhatarisha maisha yao kwa maslahi duni.Ni aibu!![emoji134]
 
Back
Top Bottom