Kama Jeshi la Polisi ni la wapigaji ni vipi linaweza kulinda raia na mali zao?

Unarudi palepale, mawaziri , wabunge, makatibu wakuu, wakurugenzi wa mashirika Wana maslahi mazuri je wameacha kuchukua rushwa na kuiba?
Unatakaje sasa?


Mimi nasema waboreshewe maslahi yao maana kazi zao za kurisk maisha.Wanachopata ndugu zetu ni aibu[emoji23]
 
Ni mambo ya aibu sn
 
Sikatai hata wenye malipo mazuri hawajaacha kula rushwa/wizi.

Ila ninachomaanisha polisi waboreshewe maslahi,kazi yao ni ngumu maslahi kiduchu.Wadogo zetu wanafanya kazi za kuhatarisha maisha yao kwa maslahi duni.Ni aibu!![emoji134]
Sasa hapa naungana na wewe, Ila nilikua sikubaliani na point ya kusema eti maslahi ndio yanafanya wachukue rushwa.
 
Unatakaje sasa?


Mimi nasema waboreshewe maslahi yao maana kazi zao za kurisk maisha.Wanachopata ndugu zetu ni aibu[emoji23]
Kuboreshwa maslahi ni jambo zuri na naamini wataboreshewa. ninachopinga ni kuwa maslahi hayafanyi mtu aache kuchukua rushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…