Kama JF ingekuwa ni kijiji ninachoishi sasa hivi...

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Usije PM bwana swahiba mi nakusubiri kuleee ukija tena ndio tukutane bana.

Mzima lakini?
[emoji1] [emoji1] Sindo nakuja weekend hii sasa
Mzima wa afya swahiba
 
Yaan RRONDO wala hujakosea hao watu ni wife material kweli ebu piga ana ana do kwa ndugu zangu hawa wawili sakayo na emmyta ikiangukia kwa mmojawapo muwowe wapo single hao [emoji12] ila kwa mama heaven sent hapo pagumu ujue
Sakayo si Wa transcend
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kumbe unao eee. Mbona hukusema sasa swahiba wakati mie nahangaika huku kuutafuta.
Nilijua kuwa hautouhitaji kwa sasa ndo mana nikaendelea kuuhifadhi mpaka utakapo niuliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…