Kama JF ingekuwa ni kijiji ninachoishi sasa hivi...

Kama JF ingekuwa ni kijiji ninachoishi sasa hivi...

Yaan RRONDO wala hujakosea hao watu ni wife material kweli ebu piga ana ana do kwa ndugu zangu hawa wawili sakayo na emmyta ikiangukia kwa mmojawapo muwowe wapo single hao [emoji12] ila kwa mama heaven sent hapo pagumu ujue
Sakayo si Wa transcend
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kumbe unao eee. Mbona hukusema sasa swahiba wakati mie nahangaika huku kuutafuta.
Nilijua kuwa hautouhitaji kwa sasa ndo mana nikaendelea kuuhifadhi mpaka utakapo niuliza
 
Back
Top Bottom