Hongera dada yangu.Kama JF ingekuwa ni kijiji ninachoishi sasa hivi, hawa wanawake watatu ningefanya jitihada zote za hali na mali nioe mmoja wao.
Hawa ni definition ya wife material, Heaven Sent [color=red]emmyta[/color] Sakayo mmebarikiwa hekima.
Mara moja moja tupost vitu vyenye positive energy na sio kila siku kuzungumzia vitu negative.
Usijali swahiba.Haya poa swahiba
Ahsante sana mdogo wangu.Hongera dada yangu.
Live long!!!
Ninao huku Dada yangu, siwapi hata kidogoNimefunga na Makufuli swahiba halafu funguo hata sina ujue.
Hebu njoo kule chitchat kwanza unaadimika sanaNinao huku Dada yangu, siwapi hata kidogo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahahaaaa.Ninao huku Dada yangu, siwapi hata kidogo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nahisi na wewe utakuwa miongoniWaliobaki itakuwa wahenga ama wamefunga pm[emoji23][emoji23]
Mimi??akhuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nahisi na wewe utakuwa miongoni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Juzi alitangaza yupo busy na maadalizi ya kwenda kulipia Jiko kule kwa Kagame.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muosha masufuria kibokoo
Kama JF ingekuwa ni kijiji ninachoishi sasa hivi, hawa wanawake watatu ningefanya jitihada zote za hali na mali nioe mmoja wao.
Hawa ni definition ya wife material, Heaven Sent emmyta Sakayo mmebarikiwa hekima.
Mara moja moja tupost vitu vyenye positive energy na sio kila siku kuzungumzia vitu negative.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Muosha naniliu katutelekeza banaHebu njoo kule chitchat kwanza unaadimika sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi??akhuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu hata sina sijui mods hawajaniwekea[emoji23][emoji23][emoji23]
Kiko kijiwe chetu kipyaMuosha naniliu katutelekeza bana
[emoji23][emoji23]asante[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole sana
Shukrani sana mdogo wangu.[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hebu mtag Mwifwa kule kijiweni[emoji23][emoji23]asante
Teh teh..Brother unataka kunifunga naonaHahahaha! kwa hiyo brother wewe unawajua sana eeh ??
Jirani zimepanda!!..Inakuwaje sasaJirani sasa