Kama JF ingekuwa ni kijiji ninachoishi sasa hivi...


Kuna mmoja hapo ' anabanduana ' vizuri Zamaradi Mketema anasubiri / anakaa hivyo jipange kwani Wewe hutoishia tu Kulia na Kupenda Makamasi katika Simu kama mwenzako ' Father Fursa ' bali unaweza hata ' ukaufyeka ' kabisa ' Mkuyenge ' wako kama akikumwaga / akikuacha.
 
Aisee...!
 
wawili kati yao wako "peace" sana hata ukiwafuata PM....waendelee na mioyo io io ya huruma kwa viumbe tunaosumbua PM.....wanakukataa ki-amani kabisa bila maneno ya ajabu...hihihi
Asante kwa kutujulisha ulishatongoza wawili kati yao.
 
Ahsante sana RRONDO kwa kuniona ni mmoja kati ya wanawake waliobarikiwa hekima ndani ya jf.

Sina budi kumshukuru M'Mungu aliye juu kwa kunifanya niwe mmoja kati ya wanawake walio bora na wenye kujitambua katika hii dunia.

Ahsante sana. Barikiwa mno RRONDO

    
 
Amen.
 
Ahsante sana pacha. Mi pia nafurahi sana sio siri kwa sababu jf ni Mji Mkubwa sana ikitokea watu wanaona una kitu ambacho kipo tofauti na wengine hakuna budi kushukuru.

Mzima?
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji122] [emoji122] Niko poa pacha wa mm
 
Mkuu anza tu hizo jitihada..Huwezi jua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…