Kama JF ingekuwa ni kijiji ninachoishi sasa hivi...

Kama JF ingekuwa ni kijiji ninachoishi sasa hivi...

Ahsante sana RRONDO kwa kuniona ni mmoja kati ya wanawake waliobarikiwa hekima ndani ya jf.

Sina budi kumshukuru M'Mungu aliye juu kwa kunifanya niwe mmoja kati ya wanawake walio bora na wenye kujitambua katika hii dunia.

Ahsante sana. Barikiwa mno RRONDO

    
Swahiba
Sina shaka nawewe kabisa
 
Na mie unaenifuataga ib box nahisi ningekuwa jirani mwema wako opposite na fensi yako
 
Back
Top Bottom