Kama kahutubia mbona kila ninayemuuliza anasema hajui alichozungumza, huku wengine wakiishia Kusonya tu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mkufunzi wangu Mmoja wa Somo Communication aliwahi kusema ukiwa ni mwenye Hadhi yoyote ile jitahidi sana Hotuba zako ziwe zinaendana na Mood ya Watu wako kwa wakati husika au ukiona labda hukubaliki nao au una Gundu Gundulile dhidi yao sitisha Kwanza Kuzunzumza nao ( Kuwahutubia ) kwani Ukilazimisha hakuna atakayekusikiliza na utaonekana Kituko zaidi japo una Hadhi Kubwa kuliko yao / wao.

Message Sent and Delivered.
 
Nilianza kumsikiliza
Alipomaliza kuelezea kuwa amedhibiti mfumuko wa bei ambapo leo nimwnunua kilo ya sukari Tahs 3,200 nikajiona mjinga sana kuenselwa kusikiliza....

Hizo namba namba zinawafaa kina Madelu, siai tunataka reality.

Kweli sijajua hotuba ilihusu nini haswa
 
...yeye kahutubia ili awahi kulala..katuacha na baridi lote hili tunaukeshea mwaka kwa manung'uniko na sonona. Nchi haina furaha kabisa.
Tutamkumbuka!!!
 
Mkufunzi wangu Mmoja wa Somo Communication aliwahi kusema ukiwa ni mwenye Hadhi yoyote ile jitahidi sana Hotuba zako ziwe zinaendana na Mood ya Watu wako kwa wakati husika au ukiona labda hukubaliki nao au una Gundu Gundulile dhidi yao sitisha Kwanza Kuzunzumza nao ( Kuwahutubia ) kwani Ukilazimisha hakuna atakayekusikiliza na utaonekana Kituko zaidi japo una Hadhi Kubwa kuliko yao / wao.

Message Sent and Delivered.
Kaongea pumbest
 
Mna mlaumu bure tu. Mnategemea yeye atazungumza nini anachofahamu? Na kwa ufahamu au Elimu gani aliyo nayo? Mumuunge mkono na kumtia moyo kwenye kuigiza. Huko labda anaweza akatoka kimaisha.
 
Back
Top Bottom