Kama kahutubia mbona kila ninayemuuliza anasema hajui alichozungumza, huku wengine wakiishia Kusonya tu?

Kuna jamaa nilikuwa naangalia nao hii hotuba alivofika kwenye kudhibiti mfumuko wa bei wakauliza kwani bei ya sukari na nauli zikoje, wakapayuka kwa nguvu oya tutolee huyo mtu hapa😀😀
 
ILA usijisahau sana

Hata kama dishi limeyumba
 
Kuna jamaa nilikuwa naangalia nao hii hotuba alivofika kwenye kudhibiti mfumuko wa bei wakauliza kwani bei ya sukari na nauli zikoje, wakapayuka kwa nguvu oya tutolee huyo mtu hapa[emoji3][emoji3]
[emoji2][emoji3][emoji55][emoji16]
 
Na imekua read....
Big up bro
 
Ni hisia zako tu mbovu. Nimemsikia Rais Samia akitoa State of the Nation address ambayo imegusa maeneo yote.

Kama ulitaka aanze kusema sijui bei ya nauli ya basi imeteremka basi hujui kazi ya urais ni nini.
 
Tatizo amezungukwa na mbweha, haiingii akilini kabisa mafuta yalipo shuka bei wakapandisha nauli.
 
Kuna jamaa nilikuwa naangalia nao hii hotuba alivofika kwenye kudhibiti mfumuko wa bei wakauliza kwani bei ya sukari na nauli zikoje, wakapayuka kwa nguvu oya tutolee huyo mtu hapa😀😀
Lucas mwashambwa yupo chimbo muda huu anaandikiwa insha ya kuja kubandika hapa kwamba hotuba ya Hangaya imeangaliwa na Watanzania wote na nusu ya Wakenya huku wakitetemeka kwa furaha ya ajabu.

Kiukweli ni kwamba, anachokihutubia kinapingana na uhalisia. Bora hata Mkwere alikuwa ananata na beat yaani anaukubali ukweli kisha anatupiga fix.

Huyu wa sasa anatutajia manamba namba kana kwamba Watanzania wote tumesomea tarakimu. Hotuba haijashawishi kwa sababu imejaa hewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…