Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 5,445
- 14,828
The Great Kanumba kama alivyopenda kujiita alikuwa ndio star mkubwa Bongo hii na nje ya mipaka yake. Akishirikiana kwa ukaribu na waghana na wanaijeria katika kuhakikisha tasnia ya Bongo movie inapaa kileleni.
Wakati huo enzi za steps entertainment wakiwa kama wasambazaji wakubwa takwimu zinaonesha katika kila walipo Watanzania 10 basi 8 wameangalia movie za Kanumba.
Je, unadhani kama angekuepo the late great Kanumba bongo movie ingekua wapi?