Vizuri havidumu ila jamaa was business oriented alijua kuchange na upepo!Tena sahivi angekua anashiriki hadi tamthilia za huko Ughaibuni.
Na hapa Bongo angekimbiza mnooo, yaan Ray ndo kapooza na kupotea, kutwa kujichubua na kubenua midomo. Khaaaah.
NakaziaYeye binafsi ndo angekuwa mbali sio hawa wababaishaji wa Bongo movie.
Haswaaah yaan.Vizuri havidumu ila jamaa was business oriented alijua kuchange na upepo!