wacha huu ujinga. unaonekana mpumbavu
Kammon Shut up and join the movement.wacha huu ujinga. unaonekana mpumbavu
ππ labda umetumwa. siwezi endelea na huu mjadala kama huna kura ya +254.
Huyu Riggy ni nani mkuu...?
MkingaHuyu Riggy ni nani mkuu...?
Anahusikaje kwenye hayo maandamano...?Mkinga
Alifuta Finance Bill last week then akasaini sheria mpya ya IEBC. Still Gen Z hawakuridhika.
Leo amefuta cabinet yote ya Kenya na kumbakiza DP na CS. Ningekuwa mshauri wa William Rutto ningemuambia some Katiba na aangalie kipengele article inayomruhusu kujiuzulu na AKABIDHI kwa mamlaka inayotambuliwa na Katiba. Hawa Gen Z wako partyless, leaderless na tribeless, they want nothing short of his RESIGNATION
Quite right. Watu wameamua kwa mujibu wa Katiba ya Kenya Ibara 1.1:Alifuta Finance Bill last week then akasaini sheria mpya ya IEBC. Still Gen Z hawakuridhika.
Leo amefuta cabinet yote ya Kenya na kumbakiza DP na CS. Ningekuwa mshauri wa William Rutto ningemuambia asome Katiba na aangalie Ibara/kifungu kinaymchomruhusu kujiuzulu na AKABIDHI kwa mamlaka inayotambuliwa na Katiba. Hawa Gen Z wako partyless, leaderless na tribeless, they want nothing short of his RESIGNATION
Yule mshirika wake Jacob Juma aliyeuliwa kikatili mwaka 2016 altoa utabiri wa machafuko kuhusu Rutto:Kenya inaenda ingia vitani.
Hata akijiuzulu Gen-Z bado watamzonga tu. Bora aendelee kuwapa za kichwa kimya KimyaAlifuta Finance Bill last week then akasaini sheria mpya ya IEBC. Still Gen Z hawakuridhika.
Leo amefuta cabinet yote ya Kenya na kumbakiza DP na CS. Ningekuwa mshauri wa William Rutto ningemuambia asome Katiba na aangalie Ibara/kifungu kinaymchomruhusu kujiuzulu na AKABIDHI kwa mamlaka inayotambuliwa na Katiba. Hawa Gen Z wako partyless, leaderless na tribeless, they want nothing short of his RESIGNATION
Ruto has lost the trust of the people. He has no legitimacy to govern. His government is irredeemably corrupt, unaccountable, and murderous. The social contract is a contract like any other, and the people have terminated it for non-performance.Hata akijiuzulu Gen-Z bado watamzonga tu. Bora aendelee kuwapa za kichwa kimya Kimya