Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Alifuta Finance Bill last week then akasaini sheria mpya ya IEBC. Still Gen Z hawakuridhika.
Leo amefuta cabinet yote ya Kenya na kumbakiza DP na CS. Ningekuwa mshauri wa William Rutto ningemuambia asome Katiba na aangalie Ibara/kifungu kinaymchomruhusu kujiuzulu na AKABIDHI kwa mamlaka inayotambuliwa na Katiba. Hawa Gen Z wako partyless, leaderless na tribeless, they want nothing short of his RESIGNATION