Kama Katiba ya Kenya Inaruhusu, William Rutto Ajiuzulu Tu

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
13,417
Reaction score
23,310
Alifuta Finance Bill last week then akasaini sheria mpya ya IEBC. Still Gen Z hawakuridhika.

Leo amefuta cabinet yote ya Kenya na kumbakiza DP na CS. Ningekuwa mshauri wa William Rutto ningemuambia asome Katiba na aangalie Ibara/kifungu kinaymchomruhusu kujiuzulu na AKABIDHI kwa mamlaka inayotambuliwa na Katiba. Hawa Gen Z wako partyless, leaderless na tribeless, they want nothing short of his RESIGNATION
 
Agenda zao wanazi update kwa placard kama hii hapa
20240711_195804.jpg
 
Williams Ruto can and will appoint a worse bunch of crooks than the ones he has pretended to have fired. He can and will bring all or some of the rotten bunch back if we don’t force him out now. No Kenyan elected MusaliaMudavadi.

Rotten crooks like his Chief of Staff, advisors, police goons, IG, DCI, the illiterate enforcers like Farouk Kibet and abductors who visited my home last week dressed in overalls and pretending to be Kenya Power workers are still intact.

#RutoMustResignNow #RutoMustGo
 
Kuna mambo mama kizimkazi anatakiwa ajifunze...Kuna mawaziri kadhaa wanaconflict of interest na wamefanya ufisadi lakini bado wako serikali..2025 mawaziri wengi watamkwamisha....Leo wananchi wengi wa Kenya wakihojiwa wamefurahia mawaziri kuoandoka coz ya ufisadi na maisha yao ya anasa....
 
Alifuta Finance Bill last week then akasaini sheria mpya ya IEBC. Still Gen Z hawakuridhika.

Leo amefuta cabinet yote ya Kenya na kumbakiza DP na CS. Ningekuwa mshauri wa William Rutto ningemuambia some Katiba na aangalie kipengele article inayomruhusu kujiuzulu na AKABIDHI kwa mamlaka inayotambuliwa na Katiba. Hawa Gen Z wako partyless, leaderless na tribeless, they want nothing short of his RESIGNATION
37228.jpg

😂😂😂
 
Alifuta Finance Bill last week then akasaini sheria mpya ya IEBC. Still Gen Z hawakuridhika.

Leo amefuta cabinet yote ya Kenya na kumbakiza DP na CS. Ningekuwa mshauri wa William Rutto ningemuambia asome Katiba na aangalie Ibara/kifungu kinaymchomruhusu kujiuzulu na AKABIDHI kwa mamlaka inayotambuliwa na Katiba. Hawa Gen Z wako partyless, leaderless na tribeless, they want nothing short of his RESIGNATION
Quite right. Watu wameamua kwa mujibu wa Katiba ya Kenya Ibara 1.1:

Screenshot_20240714_124250_Chrome.jpg
 
Alifuta Finance Bill last week then akasaini sheria mpya ya IEBC. Still Gen Z hawakuridhika.

Leo amefuta cabinet yote ya Kenya na kumbakiza DP na CS. Ningekuwa mshauri wa William Rutto ningemuambia asome Katiba na aangalie Ibara/kifungu kinaymchomruhusu kujiuzulu na AKABIDHI kwa mamlaka inayotambuliwa na Katiba. Hawa Gen Z wako partyless, leaderless na tribeless, they want nothing short of his RESIGNATION
Hata akijiuzulu Gen-Z bado watamzonga tu. Bora aendelee kuwapa za kichwa kimya Kimya
 
Ruto has lost the trust of the people. He has no legitimacy to govern. His government is irredeemably corrupt, unaccountable, and murderous. The social contract is a contract like any other, and the people have terminated it for non-performance.
20240715_070539.jpg
 
Back
Top Bottom