Kama Katiba Yetu Ingeruhusu Matokeo ya Urais Kuhojiwa Mahakamani, Jee Chadema Wangepinga Ushindi wa Magufuli?!.



Mzee naona unapiga za Uso tu mfululizo kama Tyson!
Maana umeongea Kweli tena kweli tupu!

Wacha tumuombee Mkulu atreue jaji kamili hope hato toka kule kanda yenu na ataendelea kuwa wa dini yetu kama huyu anayekaimu.
 
Majaji wa kwetu wanapatikana kwa njia mbovu inayowapa watawala waliopo nafasi ya kupendelewa.

Je Majaji wetu wangeruhusu CDM ipate access kwenye server za NEC?

Tunahitaji katiba mpya kwanza.

Nadhani Kenya hawakupewa oposition hiyo kazi bali walipiwe independent Auditor.
 
Mkuu Paskali,
nilimsikia jaji Magara (kama sijakosea jina) alisema... ELECTION IS NOT AN EVENT, IS A PROCESS.... hivyo basi kwa nilivyoelewa mimi..
1. Within the process, chochote kikivunjwa, IT DOESNT MATTER KAMA UMEPATA KURA MOJA DHIDI YA KURA MAMILIONI YA MSHINDI ALIYETANGAZWA, uchaguzi unakuwa batili
2. USHINDI hauji kwa idadi ya kura tu, bali na uhalali wa process nzima ya uchaguzi

HIVYO BASI KWA KUANGALIA PROCESS NZIMA AMBAYO IDADI YA KURA NI SEHEMU YAKE, NAAMINI WANGEPINGA MAHAKAMANI

BTW
Kinachonishangaza na kuniskitisha ni wale WALIOKATAA RASIMU YA WARIOBA YENYE KIPENGELE CHA KUHOJI MATOKEO YA URAISI MAKAMANI, nao wanatoa pongezi kwa mahakama ya Kenya... UNANAFIKI ULIOTUKUKA

Ngali K.
 

Unazungumzia Bunge lipi? tuache kujitoa ufahamu.
 
Balanced, safi sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majaji wateule wa Rais = CCM

Tume ya uchaguzi wateule wa rais = CCM

Kwa vyovyote vile kuenda mahakamani nikupoteza muda unless

1. Tuwe na majaji huru na ionekane kivitendo sio blabla tu.

2. Tuwe na tume huru ya uchaguzi sio ya ccm na oinekane huru kivitendo

LUBUVA KADA NK NK NK

Ccm imeenda mbali kuwekeza mpaka kwa vyombo vya usalama......hiki chama nijanga kubwa na laana kwa Taifa letu

Simnamkumbuka Shimbo mjeshi yupo wapi kama sio china balozi wa Tanzania

Huyu Tulia wa Tukuyu na naibu spika si alikuwa Jaji uccm aliingia lini

Na je Kanal kinana na marehem Komba nao ni vipi siwajeshi

Sijajuwa mkuu wetu kamanda siro
 
Pascal Mayalla siku zinavyozidi kwenda mbele unazidi kuwa na hoja dhaifu.

Hoja uliyoleta ni dhaifu sana na kwa mtazamo wako unaziona zina nguvu kwa kuwa hupendi kutafiti. Mambo yako yote matatu yamejengewa kwenye msingi wa kuona tuna wanasheria dhaifu sana nchini na majaji mabwege ambao hawawezi kuhandle constitutional cases kitu ambacho kimsingi ni upotoshaji.

Kesi zozote zile zinafunguliwa kwa mujibu wa sheria, sio Chadema tu mtu awaye yoyote anauwezo wa kufungua mashtaka makubwa na kupata haki yake.

Kesi za kikatiba zimefunguliwa nyingi tena nyingine wakulima wameigalagaza serikali na kupelekea baadhi ya sheria kufutwa. Majaji hao unaowachukulia poa wamewahi kufuta sheria zilizotungwa na bunge kwa kuwa hazikufuata katiba hili sio dogo.

Kuwadharau mawakili wa Chadema ni wazi huelewi mfumo wa maamuzi na uendeshaji wa mashauri. Si lazima Chadema wamtumie Tundu Lissu wanaweza kuwakilishwa na mawakili wengine ikiwamo Lamwai kama suala ni capacity.

Watu wengine wanahisi uamuzi wa kufuta matokeo ya Urais ni mkubwa sana, wanasahau mahakama yetu hii hii imesikiliza mashauri ya Uhaini na Ugaidi na bado wanasheria wetu wamewakilisha watu na wamepata haki zao.

Nikuhakikishie nyie wanahabari njaa ndio hamna capacity ya kujifananisha na wenzenu wa Kenya.
 
.....
. ...awaandikie Vilaza kule lumumbafc
 
Uzi mrefu ila nijielekeze kidogo tu kwenye kuwasilisha hoja kwa wananchi kuonesha kuwa aliyetangazwa si halali, sijasema hakushinda, ila ile doubt.... Je unajua masharti ya kikatiba kuhusu baada ya kipatikana mshindi? Hairuhusiwi kujojiwa kokote....nadharia ni kuwa ikihoji popote nayo inaweza kuwa grand offence. Take note.

Je kuwaslisha kwa wananchi kungeleta difference? Refer to the above and the katiba.
Mfano mdogo Mh Zitto aliwaonya kuhusu matokeo ya mwanza kuwa exactly mpaka nukta ya mkoa flani. Si Nec wala mamlaka yoyote ilishangaa ilo.


Ishu ya majaji kuteuliwa. Ilo ni jambo kuu na la msingi. Ila ni uhuru tu WA majaji. Walikuwapo kina Mwalusanya. Ila kwa haiba yao wangeweza "kumnyonga" hata aliyewatengenezea kifaa cha kazi, "kitanzi"= uteuzi.

Unahoji chadema kuwa na wanasheria Wazuri!? Ivi kweli paschal unahoji ili na kila siku taarifa za habari zinaonesha kina nani wanaenda sambamba na serikali iwe kule polisi mpaka mahakamani? Na si lazma chadema, kwa katiba yetu ilivo mwenyekiti wa Tume angeamua kumtangaza labda swahiba wake tuseme Chief Liemba au yule mkuu wa mkoa Anna, au kwa makosa au kwa makusudi, baada ya kumtangaza mshindi matokeo hayahojiwi. Pia angeweza kutengeneza complication hata akajitangaza yeye kama mshindi HAKUNA NAMNA YA KUTENGUA USHINDI WAKE ,au hata kuhoji. No more room kinachosubiriwa ni kuapishwa tu. IMAGINE! Then tukae tunadiscuss kama chama cha upinzani wanaweza kusimama ??

Kenya wapinzani walikuwa na private Tallying centre, obviously ndio ilisaidia kujua vyovyote vile rais ni computer generated. Tz mwaka 2015 walikamatwa wapinzani na vitendea kazi vyao kisa walijaribu kujumlisha kuona kiasi gani wanakubalika!

Kama waeledi wasemavo, tunahitaji miaka kama40 au miaka 300 kufika siasa za Kenya na marekani simultenously!
 
Nadhani Kenya hawakupewa oposition hiyo kazi bali walipiwe independent Auditor.

Walipewa opposition yani NASA. Mahakama ilitoa ruksa japo serikali ilibana mpaka mwisho. Nayo nadhani mahakama itatoa adhabu kwa IEBC mapema wiki ijayo kwa kukaidi kutoa access kwa sababu za ajabu kabisa
 
Hili ni swali chokozi!
 
Hv Kama kuna watu wana uwezo wa kumuangalia huyo mtu aliye kwenye probation kwanini wasipewe wao hyo nafasi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Content ya post hii inaeleza wazi tofauti ya Tanzania na Kenya...
BTW
Kinachonishangaza na kuniskitisha ni wale WALIOKATAA RASIMU YA WARIOBA YENYE KIPENGELE CHA KUHOJI MATOKEO YA URAISI MAHAKAMANI, nao wanatoa pongezi kwa mahakama ya Kenya... UNANAFIKI ULIOTUKUKA
 


Wewe ni kama watu wa Dunia nzima hamuelewi kinachoendela Kenya na mnasifu kwa sababu mmesikia Muzungu anasifu, kilichotokea Kenya hakina uhisiano wowote ule na Demokrasia bali ni Umafia tu, sasa subiri chaos inayofwata Kenya halfu baada ya miezi 3 urudi tana hapa na kusifu!
 
 
Mkuu Pasco

Heshima kwako

Hizi idea ni kubwa sana kwa CHADEMA. Ndugu zetu hawa hawawezi kuzitekeleza hata ufanyeje. Utekelezaji wa masuala serious ya kitaifa uliondoka na Dr Slaa.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…