Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani Kenya hawakupewa oposition hiyo kazi bali walipiwe independent Auditor.
Mayalla=Njaa!
Anyway,Tanzania hatuna wanasheria wenye akili za wale wa kenya!
Njaa ni hatari sana!Mkuu,
Siku ile neno "Njaa" sikulichimba sana akilini kumbe maana ya njaa ni pana sana ikiwemo kufanya vitu kwa sababu ya Njaa.
Hapa Paschal anacheza na akili za watu in order to water down the impact of judiciary of Kenya to overtun the election results kwa kujitungia issue iwe CHADEMA.
Msiingia katika mtego huo, siku zote ziwe ni za ushangiliaji wa jambo la kuigwa huo Kenya.
Mugu ibariki Kenya, wabariki majaji wale na wabariki wote waliofikisha Kenya mahala pale bila kuendekeza Njaa.
Cc:
Paschal Mayalla
Nimesoma paragraph ya kwanza na ya pili, nikaona we jamaa umekurupuka tu kuandika, ili na wewe uonekane kua ulitoa uchambuzi kwenye hili. Kifupi unauliza maswali ulio na majibu.
Mfano:-Unauaje kama hawana wanasheria imara mabao wangeweza kuwasilisha uteuzi wao...wakati katiba yenyewe hauiruhusu kuhoji hayo matokeo?.
Msikurupuke kuandika bana..
Kwa great thinker....nikIanza kuangalia bongo movie zenu...huwa najua mwisho....so sina sabau sa kupoteza muda kuendelea...tatizo mnapenda hadithi nyepesi....Siku nyengine soma post yote ndio utamuelewa mtoa mada, vinginevyo utamwaga povu lisilo na sababu.
Sent from my SM-G610F using Tapatalk
Pascal Mayalla siku zinavyozidi kwenda mbele unazidi kuwa na hoja dhaifu.
Hoja uliyoleta ni dhaifu sana na kwa mtazamo wako unaziona zina nguvu kwa kuwa hupendi kutafiti. Mambo yako yote matatu yamejengewa kwenye msingi wa kuona tuna wanasheria dhaifu sana nchini na majaji mabwege ambao hawawezi kuhandle constitutional cases kitu ambacho kimsingi ni upotoshaji.
Kesi zozote zile zinafunguliwa kwa mujibu wa sheria, sio Chadema tu mtu awaye yoyote anauwezo wa kufungua mashtaka makubwa na kupata haki yake.
Kesi za kikatiba zimefunguliwa nyingi tena nyingine wakulima wameigalagaza serikali na kupelekea baadhi ya sheria kufutwa. Majaji hao unaowachukulia poa wamewahi kufuta sheria zilizotungwa na bunge kwa kuwa hazikufuata katiba hili sio dogo.
Kuwadharau mawakili wa Chadema ni wazi huelewi mfumo wa maamuzi na uendeshaji wa mashauri. Si lazima Chadema wamtumie Tundu Lissu wanaweza kuwakilishwa na mawakili wengine ikiwamo Lamwai kama suala ni capacity.
Watu wengine wanahisi uamuzi wa kufuta matokeo ya Urais ni mkubwa sana, wanasahau mahakama yetu hii hii imesikiliza mashauri ya Uhaini na Ugaidi na bado wanasheria wetu wamewakilisha watu na wamepata haki zao.
Nikuhakikishie nyie wanahabari njaa ndio hamna capacity ya kujifananisha na wenzenu wa Kenya.
Huku ndiko kukosa seriousness ambako Bw. Njaa (Mayalla) anachozungumuza, badala ya kusoma na kuelewa hoja yote kabla ya kujibu, we umesoma paragraph mbili tu na kukurupuka kujibu.[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]Nimesoma paragraph ya kwanza na ya pili, nikaona we jamaa umekurupuka tu kuandika, ili na wewe uonekane kua ulitoa uchambuzi kwenye hili. Kifupi unauliza maswali ulio na majibu.
Mfano:-Unauaje kama hawana wanasheria imara mabao wangeweza kuwasilisha uteuzi wao...wakati katiba yenyewe hauiruhusu kuhoji hayo matokeo?.
Msikurupuke kuandika bana..
Naunga mkono maneno ya uliwemwengu kuwa tanzania itatuchukua miaka 40 kufikia kenya
Nimesoma paragraph ya kwanza na ya pili, nikaona we jamaa umekurupuka tu kuandika, ili na wewe uonekane kua ulitoa uchambuzi kwenye hili. Kifupi unauliza maswali ulio na majibu.
Mfano:-Unauaje kama hawana wanasheria imara mabao wangeweza kuwasilisha uteuzi wao...wakati katiba yenyewe hauiruhusu kuhoji hayo matokeo?.
Msikurupuke kuandika bana..