Kama Katiba Yetu Ingeruhusu Matokeo ya Urais Kuhojiwa Mahakamani, Jee Chadema Wangepinga Ushindi wa Magufuli?!.

Kama Katiba Yetu Ingeruhusu Matokeo ya Urais Kuhojiwa Mahakamani, Jee Chadema Wangepinga Ushindi wa Magufuli?!.

Tanzania hakuna domokrasi
Tanzania vyombo vinavyo simamia sheria vinaingiliwa na serikali/ccm(maagizo toka juu)

Ova
 
Mayalla=Njaa!
Anyway,Tanzania hatuna wanasheria wenye akili za wale wa kenya!

Mkuu,

Siku ile neno "Njaa" sikulichimba sana akilini kumbe maana ya njaa ni pana sana ikiwemo kufanya vitu kwa sababu ya Njaa.

Hapa Paschal anacheza na akili za watu in order to water down the impact of judiciary of Kenya to overtun the election results kwa kujitungia issue iwe CHADEMA.

Msiingia katika mtego huo, siku zote ziwe ni za ushangiliaji wa jambo la kuigwa huo Kenya.

Mugu ibariki Kenya, wabariki majaji wale na wabariki wote waliofikisha Kenya mahala pale bila kuendekeza Njaa.

Cc:

Paschal Mayalla
 
Pascal hili swali ungelicopy kwa chief justice tuone yeye angetujibuje?hivi ulishawahi kujiuliza kwanini kesi muhimu kwa taifa la Tanzania zinaendeshwaga gizani?wenzetu Kenya kwanza walifanya kusikiliza hii kesi ikionyeshwa live ili taifa lote lione majaji wanaamuaje kwa kupendelea ama lah?nafananisha kesi hii na keai ya makanikia maana makinikia Ni hatma ya taifa letu tukishinda tutashangalia kama taifa na tukishindwa tutashindwa kama taifa so sijaona tofauti kuubwa kwenye hili la kufutwa kwa uchaguzi Kenya na kuibiwa kwa rasilimali za taifa ambayo mnaita uhujumu uchumu...wakenya Ni waxalendo coz wameona kila kilichoendelea sio wapinzani Tu hata watu WA uhuri kenyata wameona hawana pa kutokea wakaamua kumute..nyie mnafanya yenu gizani mnatuletea matokeo ya kupikwa je watu wataacha kupiga kelele??
 
Hoja walikuwa nazo! Ila no watu wa kurukia rukia sana matukio kwa sasa! Mfano niliwahi kusikia wanataka kumshitaki makonda kukosa vyeti, je? Uamuzi huu uliishia wapi?
 
Nikikumbuka yule jaji mkuu agustino ramadhani alivyotoa hukumu ya mgombea binafsi kumbe alikua na kadi ya ccm? sidhani kama yawezekana ila tungelikua na majaji wa kaliba ya Mwalusanya J au Lugakingira nadhani ingewezekana lakini kwa sasa hivi hakuna jaji mwenye uwezo huo
 
kinachotakiwa Bwana Pascal ni ushahidi tu na kama Mahakama inathibitisha ni sawa uchaguzi unafutwa.shida inakuja huku kwetu Katiba inakataza kwenda mahakamani baada ya tume kumtangaza mshindi.kwahiyo nashauri mwarobaini hapa kwanza ni kupata katiba itakayotoa loophole kwa vyombo hivi kufanya kazi kwa uhuru bila kuingiliwa na mwingine.hii italeta adabu kwa viongozi wanaochaguliwa.hivi sasa magufuli anatukana watu hovyo kwa sababu analindwa na katiba.
 
Haya mambo ya "nge" "ngali"... huwa hayana faida zaidi ya kujifariji.
Jibu la msingi, Hawawezi kwa sababu katiba hiyo haipo, na haipo kwa sababu kuwepo kwake kungefanya waweze/wajaribu.
 
Mkuu,

Siku ile neno "Njaa" sikulichimba sana akilini kumbe maana ya njaa ni pana sana ikiwemo kufanya vitu kwa sababu ya Njaa.

Hapa Paschal anacheza na akili za watu in order to water down the impact of judiciary of Kenya to overtun the election results kwa kujitungia issue iwe CHADEMA.

Msiingia katika mtego huo, siku zote ziwe ni za ushangiliaji wa jambo la kuigwa huo Kenya.

Mugu ibariki Kenya, wabariki majaji wale na wabariki wote waliofikisha Kenya mahala pale bila kuendekeza Njaa.

Cc:

Paschal Mayalla
Njaa ni hatari sana!
 
Sasa ndugu Paschal, ndani ya Waraka wako huu umeshajijibu kuwa Mahakama haziko huru kihivyo, na Umesema linapokuja suala la kulinda maslahi ya CCM na raisi aliyeko Madarakani mahakama haiko huru kivile

Ndugu Paschal kwa kutambua hili hupaswi kuwalaumu CHADEMA kutokwenda mahakamani, maana wanaweza kwenda mahakamani halafu mahakama hizo hizo unazosema haziko huru zikatoa hukumu za Ajabu na kuunyonga japo uhuru kidogo ambao upo wazi kwa mujibu wa Katiba na hivyo kujikuta tunarudi katika hali ngumu zaidi!.

Mimi naona kwa kesi ndogo ndogo zisizohusu mustakbali wa Taifa zima, ni vyema kwenda huko, Lakini kwa Kesi kubwa zinazohusu Mustakbali mpana wa Taifa, kuzipeleka kwa mahakama ya sasa ya aina hii isiyo hata na JAJI WAKE MKUU ni counterproductive, Bora kuvuta Subira tu!!
 
Nimesoma paragraph ya kwanza na ya pili, nikaona we jamaa umekurupuka tu kuandika, ili na wewe uonekane kua ulitoa uchambuzi kwenye hili. Kifupi unauliza maswali ulio na majibu.

Mfano:-Unauaje kama hawana wanasheria imara mabao wangeweza kuwasilisha uteuzi wao...wakati katiba yenyewe hauiruhusu kuhoji hayo matokeo?.

Msikurupuke kuandika bana..

Siku nyengine soma post yote ndio utamuelewa mtoa mada, vinginevyo utamwaga povu lisilo na sababu.

Sent from my SM-G610F using Tapatalk
 
Miaka ijayo itakuja kuundwa tume huru ya majaji watakaofanya uchunguzi Wa chaguzi zote zilizowahi kufanyika tangu mfumo Wa vyama vingi uanze!
 
Siku nyengine soma post yote ndio utamuelewa mtoa mada, vinginevyo utamwaga povu lisilo na sababu.

Sent from my SM-G610F using Tapatalk
Kwa great thinker....nikIanza kuangalia bongo movie zenu...huwa najua mwisho....so sina sabau sa kupoteza muda kuendelea...tatizo mnapenda hadithi nyepesi....

Ukitaka kujua hesabu...kabla haujaanza kufanya swali...hakikisha kichwani umeshajua njia utakayopita ndio uanze kufanya...isipojua kichwani kwako...achana na hilo swali...utapoteza mida
 
Pascal Mayalla siku zinavyozidi kwenda mbele unazidi kuwa na hoja dhaifu.

Hoja uliyoleta ni dhaifu sana na kwa mtazamo wako unaziona zina nguvu kwa kuwa hupendi kutafiti. Mambo yako yote matatu yamejengewa kwenye msingi wa kuona tuna wanasheria dhaifu sana nchini na majaji mabwege ambao hawawezi kuhandle constitutional cases kitu ambacho kimsingi ni upotoshaji.

Kesi zozote zile zinafunguliwa kwa mujibu wa sheria, sio Chadema tu mtu awaye yoyote anauwezo wa kufungua mashtaka makubwa na kupata haki yake.

Kesi za kikatiba zimefunguliwa nyingi tena nyingine wakulima wameigalagaza serikali na kupelekea baadhi ya sheria kufutwa. Majaji hao unaowachukulia poa wamewahi kufuta sheria zilizotungwa na bunge kwa kuwa hazikufuata katiba hili sio dogo.

Kuwadharau mawakili wa Chadema ni wazi huelewi mfumo wa maamuzi na uendeshaji wa mashauri. Si lazima Chadema wamtumie Tundu Lissu wanaweza kuwakilishwa na mawakili wengine ikiwamo Lamwai kama suala ni capacity.

Watu wengine wanahisi uamuzi wa kufuta matokeo ya Urais ni mkubwa sana, wanasahau mahakama yetu hii hii imesikiliza mashauri ya Uhaini na Ugaidi na bado wanasheria wetu wamewakilisha watu na wamepata haki zao.

Nikuhakikishie nyie wanahabari njaa ndio hamna capacity ya kujifananisha na wenzenu wa Kenya.

Umenena kweli mkuu, Pasco ana bifu na Lissu na Chadema, anajificha lakini ukisoma bandiko lake katikati ya mistari anajifunua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma paragraph ya kwanza na ya pili, nikaona we jamaa umekurupuka tu kuandika, ili na wewe uonekane kua ulitoa uchambuzi kwenye hili. Kifupi unauliza maswali ulio na majibu.

Mfano:-Unauaje kama hawana wanasheria imara mabao wangeweza kuwasilisha uteuzi wao...wakati katiba yenyewe hauiruhusu kuhoji hayo matokeo?.

Msikurupuke kuandika bana..
Huku ndiko kukosa seriousness ambako Bw. Njaa (Mayalla) anachozungumuza, badala ya kusoma na kuelewa hoja yote kabla ya kujibu, we umesoma paragraph mbili tu na kukurupuka kujibu.[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]

We have a long way to go[emoji87] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Naunga mkono maneno ya uliwemwengu kuwa tanzania itatuchukua miaka 40 kufikia kenya

Nimesoma paragraph ya kwanza na ya pili, nikaona we jamaa umekurupuka tu kuandika, ili na wewe uonekane kua ulitoa uchambuzi kwenye hili. Kifupi unauliza maswali ulio na majibu.

Mfano:-Unauaje kama hawana wanasheria imara mabao wangeweza kuwasilisha uteuzi wao...wakati katiba yenyewe hauiruhusu kuhoji hayo matokeo?.

Msikurupuke kuandika bana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mfano mmoja jimbo la januari makamba ambalo lilikuwa na watu smart katika nakala ya msimamizi wa uchaguzi wa jimbo lile ilionyesha watu waliojiandikisha kupiga kura walikuwa 5000hakuna kura ilio haribika walio piga kura za ubunge ni wote 5000 januari alishinda kwa asilimia 90 upande wa raisi alipata kura takribani 20000 sasa jiulize wapiga kura elfu kumi na tano zilitoka wapi??
 
Ngoja nitafakari Mayalla bandiko lake limebeba ujumbe wa aina gani?Ameridhika na mfumo siasa za Tanzania au anamahaba/chuki na Chadema?Anaamini kuwa ana akili kubwa kuliko wengine au vinginevyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom