MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
"Serikali ya Hayati Dkt. Magufuli ilitengeneza Maadui wengi na nchi za Kimataifa kupitia Waziri Kabudi ila Serikali ya Rais wa sasa Samia imerejesha Mahusiano mema na Mataifa mbalimbali kupitia Waziri Mulamula" Mzee Bulembo Kada Mwandamizi wa CCM na aliyewahi pia kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM.
Chanzo: DarBlogMpya
Kama kumbukumbu zangu hazijapotea ni kwamba ukiwataja Viongozi Watatu bora ambao walikuwa Wakimpamba / Wakimsifia sana Hayati Rais Dkt. Magufuli na kusema hakuna kama Yeye Tanzania Mzee huyu Kada wa CCM Abdallah Bulembo hakosekani ila ghafla leo hii kaamua kupiga U-turn ya Hatari.
KEROZENE natamani sana Tanzania tuje na Sheria ya KUNYONGWA HADI KUFA KWA WANAFIKI WOTE hasa hasa ndani ya Chama Tawala CCM.