Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,408
- 12,100
KAULI ya Rais yakuwa Kuna vijana wa Kenya waliingia Tanzania na kuandamana tarehe 29 ni inshara tosha yakuwa Jeshi la uhamiaji na Jeshi la wananchi lilimuujumu kikubwa IGP Ili atumbuliwe.
Je NGO zilizowalipa vijana Ili waandamane zilisajiliwa na nani?
Nisemw ukweli Rais Samia anahujumiwa kikubwa mno na wasaidizi wake.
Je NGO zilizowalipa vijana Ili waandamane zilisajiliwa na nani?
Nisemw ukweli Rais Samia anahujumiwa kikubwa mno na wasaidizi wake.