Yesu Anakuja JF-Expert Member Joined Apr 10, 2019 Posts 12,675 Reaction score 25,924 Sep 28, 2023 #41 nguvu said: Jerry Muro hujamuweka kwenye list Click to expand... muro alipokuwa msemaji hajawahi kuongea maneno kama yupo kanisani kama wanavyoongea manara, kale kadogo ka Yanga na yule wa simba.
nguvu said: Jerry Muro hujamuweka kwenye list Click to expand... muro alipokuwa msemaji hajawahi kuongea maneno kama yupo kanisani kama wanavyoongea manara, kale kadogo ka Yanga na yule wa simba.
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 15,265 Reaction score 29,991 Sep 28, 2023 #42 Lord Delamere in Kenya said: Lazima niwaze kukupakua, maana si kwa hilo tackle laini ulilo nalo. [emoji848] Click to expand... Malezi mabovu ndio chanzo cha vijana kama wewe, by the way kinacho mtoka mtu ndio kipo moyoni mwake
Lord Delamere in Kenya said: Lazima niwaze kukupakua, maana si kwa hilo tackle laini ulilo nalo. [emoji848] Click to expand... Malezi mabovu ndio chanzo cha vijana kama wewe, by the way kinacho mtoka mtu ndio kipo moyoni mwake
LeBron TZ Senior Member Joined Sep 26, 2018 Posts 176 Reaction score 207 Sep 28, 2023 #43 1979Magufuli said: Huu mpango kuna siku utashtukiwa tu, nyie kila mnapokuwa na mechi ngumu mnakimbilia kusaidia yatima au kutoa misaada kwenye madrasa, lengo ni kutafuta ushindi tarehe 30. Dah kazi ipo! Click to expand... Hakuna kitu kina nguvu kama sadaka, siku ukilitambua hilo, you will be untouchable.
1979Magufuli said: Huu mpango kuna siku utashtukiwa tu, nyie kila mnapokuwa na mechi ngumu mnakimbilia kusaidia yatima au kutoa misaada kwenye madrasa, lengo ni kutafuta ushindi tarehe 30. Dah kazi ipo! Click to expand... Hakuna kitu kina nguvu kama sadaka, siku ukilitambua hilo, you will be untouchable.
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Sep 28, 2023 #44 chapwa24 said: muro alipokuwa msemaji hajawahi kuongea maneno kama yupo kanisani kama wanavyoongea manara, kale kadogo ka Yanga na yule wa simba. Click to expand... Maneno gani wanaongea kama wapo kwenye nyumba za ibada?
chapwa24 said: muro alipokuwa msemaji hajawahi kuongea maneno kama yupo kanisani kama wanavyoongea manara, kale kadogo ka Yanga na yule wa simba. Click to expand... Maneno gani wanaongea kama wapo kwenye nyumba za ibada?