Kama kazi ya mafusho ya mwenge ni kupumbaza watu, je wapumbavu wanawezaje kujikwamua?

Kama kazi ya mafusho ya mwenge ni kupumbaza watu, je wapumbavu wanawezaje kujikwamua?

Swali kwa wajukuu zangu wapenzi.

Taifa la wapumbavu
kuliita taifa lako ni taifa la wapumbavu, sio kulitendea haki. Tanzania sio taifa la wapumbavu, sema ni taifa la wajinga!
linawezaje kujikwamua lenyewe na watu wake kutoka kwa maadui watano, umaskini, ujinga, maradhi, rushwa na uchawa?
haliwezi kujikwamua ni mpaka likwamuliwe kwa ukombozi wa fikra Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
Mimi bibi yenu mpambanaji, next time ukini tag, please usinichanganye na machawa na mimi nikaonekana kama chawa!
p
 
next time ukini tag, please usinichanganye na machawa na mimi nikaonekana kama chawa!
p
Pascal Mayalla , naomba nikuombe radhi kwa kukujumuisha na machawa. Nimekutag mahsus sababu nakumbuka miaka ya nyuma sana ulianzisha Uzi wa mafusho ya Mwenge kwamba yanapumbaza, sikuwa na sababu nyingine, isipokuwa kuomba tu uzoefu wako kwenye mambo haya.
 
haliwezi kujikwamua ni mpaka likwamuliwe kwa ukombozi wa elimu.
Pascal Mayalla tangu Uhuru tuna shule na vyuo vikuu vinazidi kuongezeka, je ni elimu gani zaidi itakayotufanya tuachane na mbio za Mwenge, maana hazina faida yoyote kiuchumi, na kijamii?

Kwani Kenya wanapata hasara gani kwa kutokukimbiza Mwenge?
 
Pascal Mayalla tangu Uhuru tuna shule na vyuo vikuu vinazidi kuongezeka, je ni elimu gani zaidi itakayotufanya tuachane na mbio za Mwenge, maana hazina faida yoyote kiuchumi, na kijamii?

Kwani Kenya wanapata hasara gani kwa kutokukimbiza Mwenge?
Kenya hawataki mambo ya kijinga
 
Kwangu mimi, kama Mtanzania, this is an Affront.

Mada yenyewe ni ya Kipumbavu.

Kiuhalisi, Wakati mabeberu na makaburu, wakiviranda hapa Afrika, walikuja na haya yote.👇🏿


umaskini, ujinga, maradhi, rushwa na uchawa?
Walikuja wakiwa wamechoka sana, na wakiwa Masikini. Njaa zilikuwa zimetamalaki Ulaya, Vita Maradhi na Rushwa ndio Usiseme.

Wakiwa wanaandikiana Barua wenyewe kwa wenyewe na wengine wakiandika katika Journals zao,

Zikisema...

"Tunakufa kwa Magonjwa huku" na 'hatukuja na Madawa'

'Tunaomba msaada wa kuletewa madawa'

...na ni ujinga wao ndio uliwauwa. Yaani kwa sababu hawakuwa wakiamini kutumia mizizi na madawa mengine pori pamoja na kutowatumia waganga wa Kiafrika ambao kwa nyakati hizo walikuwa wapo mbele sana kimaarifa na sayansi ya Tiba.

Anyways, kwa maoni yangu Jamiiforums linajishusha tu kwa mada kama hizi za "Kipumbavu"
 
 
Back
Top Bottom