Mimi Bibi Yenu Mpambanaji
Senior Member
- Oct 6, 2024
- 147
- 303
- Thread starter
- #41
Amekuwa sasa, ujana na kutaka kumfurahisha mwendazake ndivyo vilimfanya awe CHAWA cry cryPasco mbona uchawa umeukataa haraka hivyo? Hutaki cheo cha kustaafia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekuwa sasa, ujana na kutaka kumfurahisha mwendazake ndivyo vilimfanya awe CHAWA cry cryPasco mbona uchawa umeukataa haraka hivyo? Hutaki cheo cha kustaafia?
Hii imefanywa makusudi wawe hivyo walivyo. ! 😳Elimu hii hii ambayo imeshindwa kuwapa maarifa vijana wetu wabadilishe maisha yao yawe Bora sana?
Katiba mpya bora ni muhimu sana !Kwenye hii nchi bado kundi la wajinga ni kubwa sana. Vijana wengi wamepata elimu lakini haiwasaidii katika kung'amua masuala ya msingi katika jamii yetu. Tulitegemea kuwa katika karne hii ambapo tumeshuhudia ukuaji wa science na technology ambako kumerahisisha access to information basi watu wengi wangekuwa na uwezo wa kupata taarifa na kuzichakata na kufanya maamuzi.
Lakini ni kinyume chake, si ajabu ukakuta graduate tena mwenye GPA nzuri tu na aliesomea mambo ya Finance na Econimics hajawahi kuisoma hata Finance Bill ya Bunge la Budget. Hata ukimpatia aisome hawezi kuielewa na kuichambua na kuwaeleza wasiokua na hiyo elimu wakaielewa.
Wengi wetu vijana tume lose focus kwenye masuala ya msingi na tumebakia kujikita katika masuala ambayo hayana tija kama ushabiki wa Simba na Yanga, Diamond Ali Kiba n.k. Kitu wengi tusichojua ni kuwa hawa wanasiasa ndio wanachopenda pale wanapoona watu wakijadili masuala yasiyokuwa na umuhimu.
Hapo ndio hutumia hii nafasi kuzidi kuwalevya na hayo yasiokuwa na maana (mfano goli la mama), uchawa n.k huku wao wakiendelea kuiuza nchi kwa kuuza rasilimali za nchi kwa mikataba ya kinyonyaji kwa mgongo wa uwekezaji mfano DPW, Bagamoyo n.k
Ila naamini kuna wakati waja pale ambapo hali ya maisha ya mtanzania itakapokuwa mbaya zaidi kila mtu atafikiwa na kila akili itaanza kufanya kazi na hapo ndipo sasa watu watataka kuwawajibisha hao mabwanyenye weusi na kufuta mifumo isiyokuwa na tija kama hiyo mwenge.
tuanze na katiba mpya
Very sadHii imefanywa makusudi wawe hivyo walivyo. ! 😳