Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mataifa ya ulaya walifahamu fika madhara ya ushirikina na uchawi, ndo maana vitabu vya historia vinaelezea kuwa wachawi na washirikina walichomwa moto hadharani.Tumelaaniwa tunaendesha nchi kwa ushirikina badala ya kumtegemea Mungu.
- Mwenge: Ni Mwanga Tu Au Kuna Uvumba Fulani Unafukizwa Ili Kupumbaza Watanzania? Is it Justified?.Pascal Mayalla , naomba nikuombe radhi kwa kukujumuisha na machawa. Nimekutag mahsus sababu nakumbuka miaka ya nyuma sana ulianzisha Uzi wa mafusho ya Mwenge kwamba yanapumbaza, sikuwa na sababu nyingine, isipokuwa kuomba tu uzoefu wako kwenye mambo haya.
kwamba muuliza swali ndio muerevu namna hii, dah 🤭Swali kwa wajukuu zangu wapenzi.
Taifa la wapumbavu linawezaje kujikwamua lenyewe na watu wake kutoka kwa maadui watano, umaskini, ujinga, maradhi, rushwa na uchawa?
Pascal Mayalla , Lucas Mwashambwa FaizaFoxy nahitaji kishiriki wenu
Naye ni Mwananchi mwenzenu kama nyie, anafukizwa pia na Moshi huohuokwamba muuliza swali ndio muerevu namna hii, dah 🤭
Usisahau stori ya Nyerere na mbuzi wakeMataifa ya ulaya walifahamu fika madhara ya ushirikina na uchawi, ndo maana vitabu vya historia vinaelezea kuwa wachawi na washirikina walichomwa moto hadharani.
Afrika toka enzi na enzi waliokuwa wafalme au machifu walisifika kwa uchawi na ushirikina. Mfano ukisoma hadithi za akina Mirambo, Mkwawa, na yule jamaa wa majimaji utaona namna wanavyosifika kwa uchawi na ushirikina.
Mtaani kuna story ya fimbo aliyokuwa nayo Nyerere na inahusishwa na masuala ya ushirikina au mizimu.
Kasome Isaya 50:11 na aliyeturoga kafa tarehe 14/10/1999Kama mwenge unatufanya wote tuwe wapumbavu au ni ushirikina basi sisi sote kama taifa tumerogwa. (Wananchi na viongozi wote).
Sisi watumishi tupo milimani tukifunga na kuomba ili hili jini lilifungamanishwa na mwenge kwenye lile tambiko la Lindi kwenye lango la kuzimu linasambaratishwa na kuwaweka huru watanganyikaSwali kwa wajukuu zangu wapenzi.
Taifa la wapumbavu linawezaje kujikwamua lenyewe na watu wake kutoka kwa maadui watano, umaskini, ujinga, maradhi, rushwa na uchawa?
Pascal Mayalla , Lucas Mwashambwa FaizaFoxy nahitaji kishiriki wenu
Laana ya Mwenge ni mbaya sanaTumelaaniwa tunaendesha nchi kwa ushirikina badala ya kumtegemea Mungu.
Pascal Mayalla tangu Uhuru tuna shule na vyuo vikuu vinazidi kuongezeka, je ni elimu gani zaidi itakayotufanya tuachane na mbio za Mwenge, maana hazina faida yoyote kiuchumi, na kijamii?
Kwani Kenya wanapata hasara gani kwa kutokukimbiza Mwenge?
Kenya hawataki mambo ya kijinga
Hadi hapo mafuvu ya jamii yatakapo rudishiwa akiliKama mwenge unatufanya wote tuwe wapumbavu au ni ushirikina basi sisi sote kama taifa tumerogwa. (Wananchi na viongozi wote).
Hadi hapo mafuvu ya jamii yatakapo rudishiwa akili
Hadi hapo mafuvu ya jamii yatakapo rudishiwa akili
Kafara la kukimbiza moto linavyoligharimu Taifa
Kwa mujibu wa simulizi za kidini, ulimwengu umewahi kuadhibiwa mara mbili na mwenyezi Mungu kwa mapigo mawili makubwa. Pigo la kwanza wakati wa Nuhu, Pigo la gharika hili lilipozwa kwakuwa maji ni uhai na watu walipewa muda wa kujiandaa. Hili ni pigo takatifu lenye nafasi ya uhai ndani yake...www.jamiiforums.com
Elimu Elimu Elimu Elimu !Swali kwa wajukuu zangu wapenzi.
Taifa la wapumbavu linawezaje kujikwamua lenyewe na watu wake kutoka kwa maadui watano, umaskini, ujinga, maradhi, rushwa na uchawa?
Pascal Mayalla , Lucas Mwashambwa FaizaFoxy nahitaji kishiriki wenu
Elimu Elimu Elimu Elimu !
Elimu hii hii ambayo imeshindwa kuwapa maarifa vijana wetu wabadilishe maisha yao yawe Bora sana?Elimu Elimu Elimu Elimu !
Pasco mbona uchawa umeukataa haraka hivyo? Hutaki cheo cha kustaafia?kuliita taifa lako ni taifa la wapumbavu, sio kulitendea haki. Tanzania sio taifa la wapumbavu, sema ni taifa la wajinga!
haliwezi kujikwamua ni mpaka likwamuliwe kwa ukombozi wa fikra Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
Mimi bibi yenu mpambanaji, next time ukini tag, please usinichanganye na machawa na mimi nikaonekana kama chawa!
p