Mimi Bibi Yenu Mpambanaji
Senior Member
- Oct 6, 2024
- 147
- 303
Jamii mafuvu yakirudishiwa akili watabadilika huwezi amini, wanaweza tembeza mboko na utashindwa kuaminiSwali kwa wajukuu zangu wapenzi.
Taifa la wapumbavu linawezaje kujikwamua lenyewe na watu wake kutoka kwa maadui watano, umaskini, ujinga, maradhi, rushwa na uchawa?
Pascal Mayalla , Lucas Mwashambwa FaizaFoxy nahitaji kishiriki wenu
kuliita taifa lako ni taifa la wapumbavu, sio kulitendea haki. Tanzania sio taifa la wapumbavu, sema ni taifa la wajinga!Swali kwa wajukuu zangu wapenzi.
Taifa la wapumbavu
haliwezi kujikwamua ni mpaka likwamuliwe kwa ukombozi wa fikra Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!linawezaje kujikwamua lenyewe na watu wake kutoka kwa maadui watano, umaskini, ujinga, maradhi, rushwa na uchawa?
Mimi bibi yenu mpambanaji, next time ukini tag, please usinichanganye na machawa na mimi nikaonekana kama chawa!
Tuendelee kumuomba MunguJamii mafuvu yakirudishiwa akili watabadilika huwezi amini, wanaweza tembeza mboko na ujashindwa kuamini
Pascal Mayalla , naomba nikuombe radhi kwa kukujumuisha na machawa. Nimekutag mahsus sababu nakumbuka miaka ya nyuma sana ulianzisha Uzi wa mafusho ya Mwenge kwamba yanapumbaza, sikuwa na sababu nyingine, isipokuwa kuomba tu uzoefu wako kwenye mambo haya.next time ukini tag, please usinichanganye na machawa na mimi nikaonekana kama chawa!
p
Hiyo jamii iliyo nyamaza wewe unadhani itaendekea kunyamaza hadi lini na ni yepi madhara ya kunyamaza,Tuendelee kumuomba Mungu
Pascal Mayalla tangu Uhuru tuna shule na vyuo vikuu vinazidi kuongezeka, je ni elimu gani zaidi itakayotufanya tuachane na mbio za Mwenge, maana hazina faida yoyote kiuchumi, na kijamii?haliwezi kujikwamua ni mpaka likwamuliwe kwa ukombozi wa elimu.
Sasa wewe umesema wapumbuvu,ikiwa ndo hivyo wanawezaje kujikwamua kutoka kwenye maradhi hayo? Labda upumbavu huo ukiwatokaSwali kwa wajukuu zangu wapenzi.
Taifa la wapumbavu linawezaje kujikwamua lenyewe na watu wake kutoka kwa maadui watano, umaskini, ujinga, maradhi, rushwa na uchawa?
Pascal Mayalla , Lucas Mwashambwa FaizaFoxy nahitaji kishiriki wenu
Mwenge ndiyo ushirikina wa CCMSwali kwa wajukuu zangu wapenzi.
Taifa la wapumbavu linawezaje kujikwamua lenyewe na watu wake kutoka kwa maadui watano, umaskini, ujinga, maradhi, rushwa na uchawa?
Pascal Mayalla , Lucas Mwashambwa FaizaFoxy nahitaji kishiriki wenu
Kenya hawataki mambo ya kijingaPascal Mayalla tangu Uhuru tuna shule na vyuo vikuu vinazidi kuongezeka, je ni elimu gani zaidi itakayotufanya tuachane na mbio za Mwenge, maana hazina faida yoyote kiuchumi, na kijamii?
Kwani Kenya wanapata hasara gani kwa kutokukimbiza Mwenge?
Walikuja wakiwa wamechoka sana, na wakiwa Masikini. Njaa zilikuwa zimetamalaki Ulaya, Vita Maradhi na Rushwa ndio Usiseme.umaskini, ujinga, maradhi, rushwa na uchawa?
Ukiacha U liverpool na U Manchester, labda hutakuwa unamsujudia Mfalme Chalesi... You get my drift mate?Taifa likiacha usimba na uyanga bhasi litaondokana na ujinga , umaskini na uchawa.
Kuna uzi uliwekwa asubuhi humu kuwa watanzania vinara wa ujinga AfricaSwali kwa wajukuu zangu wapenzi.
Taifa la wapumbavu linawezaje kujikwamua lenyewe na watu wake kutoka kwa maadui watano, umaskini, ujinga, maradhi, rushwa na uchawa?
Pascal Mayalla , Lucas Mwashambwa FaizaFoxy nahitaji kishiriki wenu
Ukishajitambua tayari sio mjinga BALI unaitwa uoga wa kifanya maamuzi magumuSwali kwa wajukuu zangu wapenzi.
Taifa la wapumbavu linawezaje kujikwamua lenyewe na watu wake kutoka kwa maadui watano, umaskini, ujinga, maradhi, rushwa na uchawa?
Pascal Mayalla , Lucas Mwashambwa FaizaFoxy nahitaji kishiriki wenu
CCM inatudhalilishaKuna uzi uliwekwa asubuhi humu kuwa watanzania vinara wa ujinga Africa
Usishangae ni duniani ila tu wamepooza makali
Tumelaaniwa tunaendesha nchi kwa ushirikina badala ya kumtegemea Mungu.Swali kwa wajukuu zangu wapenzi.
Taifa la wapumbavu linawezaje kujikwamua lenyewe na watu wake kutoka kwa maadui watano, umaskini, ujinga, maradhi, rushwa na uchawa?
Pascal Mayalla , Lucas Mwashambwa FaizaFoxy nahitaji kishiriki wenu