Kama kazi yako nitaitaja hapa chini, nakushauri fanya toba ili kizazi chako kisilaaniwe

Kwa mfano umemdhulumu mtu haki yake na hajui kuwakadhulumiwa, laana utapataje?
Mfano, umemla mke wa mtu na mwenyewe hajui kabisa na wala hajawahi kuhisi.
Hiyo ni sawa na mfamasia kwa kushirikiana na daktari wanaiba dawa na kusema it's not sin because wananchi wenyewe hawajui kuwa wameibiwa
 
Mbona hujaweka 'matapeli wa mapenzi'?
Mtu unatulia kwa uaminifu ukidhani umepata mwenza kumbe yeye yupo kukutumia na sio kukupenda
 
Pia ifahamike kuwa laana ni strictly kwa muhusika tu.

Mungu sio dhalimu , Mtoto hahukumiwi kwa makosa ya mzazi wake wala mzazi hahukumiwi kwa makosa ya mtoto wake.

Kila mtu atabeba furushi lake siku hiyo
Ohh husomi Biblia sio
'Nawapatiliza wana maovu ya Baba zao...' hujawahi kuiona?
Hakikisha unaomba toba na rehema kuepushwa na dhambi za wazazi wako
 
Maisha ni hapa hapa tuu...

Kwa niaba ya 14 people..
 
UKO SAHIHI NINA MIFANO MINGI YA TRAFIKI AMBAO WAKO KATIKA TABU KUBWA NA MATESO, PIA WAFANYAKAZI WA TRA, YUKO MMOJA ALIKUA ANAONA SIFA KUJA KULIPISHA WATU KODI ALIJILIMBIKIZIA MALI LAKINI MWISHO WA SIKU ALIKUFA DHALILI KWA KUKOSA HELA YA MATIBABU
 
Umezunguuuka,kumbe lengo ni kuyasema majeshi yetu.

Hebu fikiria vizuri kosa la askari magereza ni lipi,

Yeye kazi yake ni kushikilia mfungwa aliyehukumiwa na mahakama hata kama hana hatia.
Oya askari magereza waone uku uku nje tu wale watu wakiwa kule gerezan hawana ubinadam ni zaid ya wanyama

Unakuta mfungwa anamzidi umri ni kama baba ake kbs ila anavyomdhalilisha sio poa,
jamaa yupo sahih hawafai ata kdg japo sio wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…