Hapa inabidi uwe na thiology Tena yenye mafunuo ndipo ueleweke.
.........hapo awali mpango wa MUNGU ulikuwa Ni umilele,yaani ni kuzaa na kuishi basi,katika plan hii ya kwanza kipengele Cha kifo,hakikuwekwa(NOTE.japo kilikuwepo)kwa wanadamu Wala wanyama,Wala kiumbe chochote,japo kipengele hiki Cha kifo kilikuwepo ila kilifichwa na yeye mwenyewe kwa lugha rahisi alikuwa ameki block kisi oparate,na hakuwa na plan ya kukifanya kioparate.
.... baadae plan ya umilele ya kwanza ikavurugika na schedule ya plan nzima ikavurugwa na kuharibika.nadhani wote mnajua namna ilivyo haribika na Nani walihusika.waliohuaika kuharibu plan ya umilele ya kwanza master mind alikuwa ibilisi,Hawa akiwa wa pili kutekeleza na Adam akaingia mkenge....
Baada ya hapo MUNGU akaja na plan ya pili na ya mwisho ya umilele,plan hii inautofauti mkubwa na ile ya kwanza,nahisi hii aliamua kuboresha zaidi NOTE.he is always perfect and natural....katika plan hii ya pili ndipo kile kipengele Cha kifo ambacho katika plan ya kwanza aliki block kisi oparate ,akaki release automatic.....
ngoja niishie hapa ni somo lefu sana.thus why nimesema thiology ya mafunuo inahitajika.
Summary! katika plan za Mungu kifo,hakikuwa kwenye plan yake kioparate,ila baada ya kuvurugika kwa plan 1,ilibidi akiache kioperate na aliye switch ON kitufe Cha dealth ,siyo MUNGU ni mwanadamu.